Waziri mkuu mstaafu, bwana John Malecela, amesema ana hofu ya Raisi Magufuli kuhujumiwa na ameitaka serikali imuongezee ulinzi na kwamba isidharau.Mzee Malecela pia amekwenda mbali zaidi kwa kukumbuka jinsi Mwalimu Nyerere alivyotaka kupinduliwa.
Chanzo:JamboLeo
Bora na wakubwa nao sasa waseme,wengine tumebaki tu yetu macho na masikio.
Na ole wao wathubutu kumdhuru raisi wetu Magufuli japo kwa lolote tu,
Nadhani ndio watajua kwamba Watanzania walikua wanampenda na kumhitaji au lah.
Ipo kila sababu ya kusuka upya idara zote za ulinzi na usalama!.
tiss needs change
jwtz chief are good with one heart!
idara zote nyeti kiulinzi needs changes.
Mda mwingi yupo na wale wazee wazinzi wazinzi wa mjini kazi yake ni Ukuadi tu hana jipya kabsa.
Ujinga ni mzigo ni lini binadamu akamlinda binadamu mwenzie? Mungu ndo mlinzi wa mtu ukiona mtu kafa siku imefika ka yesu alionja mauti sembuse mtu mdogo sana? Haya leteni na jeshi la marekani limlinde.
Labda anamwombea kazi ya ubaunsa Le Mutuz.....you never know
Asante sana mzee Malec kuikumbusha serikali. Raisi anafanya mambo yenye maslahi kwa umma mzima na wachache lazima watamchukia. Naunga mkono aongezewe ulinzi.
Kikwete(Rais Mstaafu) ana ulinzi mzito kuliko Magufuli.Why?