Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,198
- 162,739
Hawezi kuwa mshauri wa kitaifa tena baada ya Mtera kumuona hana la maana bora kibajaji. Atuambie hiyo hatari no ipi kwanza na nani anamshuku kufanya hayo. Sio wamelala na mkewe aliyepigwa chini ubunge kama yeye wakiamka ndoto zao wanazitoa hadharani zijadiliwe.
Labda anamwombea kazi ya ubaunsa Le Mutuz.....you never know

Yeye huyu 2005 alisema urais si kubeba zege. Atuambie sasa kama angeweza haya, na arudishe pampu za visima alizong'oa baada ya bajaj kumuangusha
Waziri mkuu mstaafu, bwana John Malecela, amesema ana hofu ya Raisi Magufuli kuhujumiwa na ameitaka serikali imuongezee ulinzi na kwamba isidharau.Mzee Malecela pia amekwenda mbali zaidi kwa kukumbuka jinsi Mwalimu Nyerere alivyotaka kupinduliwa.
Chanzo:JamboLeo
Bora na wakubwa nao sasa waseme,wengine tumebaki tu yetu macho na masikio.
Kweli kabisa.Waziri mkuu mstaafu, bwana John Malecela, amesema ana hofu ya Raisi Magufuli kuhujumiwa na ameitaka serikali imuongezee ulinzi na kwamba isidharau.Mzee Malecela pia amekwenda mbali zaidi kwa kukumbuka jinsi Mwalimu Nyerere alivyotaka kupinduliwa.
Chanzo:JamboLeo
Bora na wakubwa nao sasa waseme,wengine tumebaki tu yetu macho na masikio.