Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,355
- 1,989
Hapa hatuongelei chama hapa.
Huwa, nakataa 99% ya anavyovisema jamaa, na hasa style yake ya majadiliano pale anapokuwa cornered ku defend "dataz" zake kwa wale tunaokataa kuzibugia bugia kama maji ya sharbati.
Hapa nimekusanya nguvu kumpa credit kwa ile comment kwa sababu zisizohusiana na itikadi za chama hata kidogo.
Notice, nimesema sio binadamu wengi wanaweza kufanya alichosema pale. Kama ni objectivity kwenye siasa za vyama ni wengi tu wako fair-minded kwenye hilo. Kwa hapa kuna nobility that runs deeper that party politics.
Mkuu ndilo tatizo lenu wote mnaofikiria mnanifahamu, sasa nafikiri utaelewa kuwa sina mchezo na taifa hata siku moja, kwenye mzee amekosea period Dr. Slaa ndiye muanzilishi wa ishu ya mafisadi, na mimi ndiye niliyekuwa wa kwanza hapa kuleta list ya mafisadi kabla haijawekwa hadharani,
Na ninajua nilikoitoa ile list ndio maana ninasema wazi kuwa kwenye hili mzee yupo off the line! It is abpout opur nation sio individulas haina nafasi kabisaa!
Hivi ni lini na siku gani vibogoyo wote wataondolewa bungeni na serikalini? hasa huyo malecela na kingunge anayedai bado anajisikia kufanya kazi.Mbona tuna vijana wengi tu wenye elimu zao lini watafanya kazi au bado tunaendekeza libeneke la vijana ni taifa kesho.siku si nyingi nitakwenda HARDWRE kununua panga ili niingie msituni kwa maana siwezi kupata smg.
Hivi ni lini na siku gani vibogoyo wote wataondolewa bungeni na serikalini? hasa huyo malecela na kingunge anayedai bado anajisikia kufanya kazi.Mbona tuna vijana wengi tu wenye elimu zao lini watafanya kazi au bado tunaendekeza libeneke la vijana ni taifa kesho.siku si nyingi nitakwenda HARDWRE kununua panga ili niingie msituni kwa maana siwezi kupata smg.
una mahusianp na moshij au ndo wewe?
mkuu mawazo haya si pahala pake jamvi hili nnasikia kuna face book sijui face nini
una mahusianp na moshij au ndo wewe?
mkuu mawazo haya si pahala pake jamvi hili nnasikia kuna face book sijui face nini
Field Marshall, huyu ni wewe huyu, au nina makengeza?
Ok, for the record, hongera kwa kuwa objective, independent, fair-minded and genuinely patriotic, for once.
Sio binadamu wengi duniani wanaweza kufanya ulichokifanya hapo.
Technically, Mzee JM yuko sahihi.... waanzilishi wa hoja ya ufisadi ni CCM! think about it.
Waanzishaji wa hoja kuwa ccm hakuwapi credibility ya kuwa wamaliziaji!Kwasababu watajali maslahi ya chama chao badala ya Taifa!
Upinzani wa kweli ndio wanao call the shots now since ukweli wote uko nje nje!
WAKAMATE HAO MAFISADI LA SIVYO WATATULETEA MATATIZO ZAIDI KWENYE TAIFA LETU!
...acha fix zako wewe,labda kama unaongea with some codes maana una tuvitu twako vingine vya kujizungusha zungusha sana.
Hii inawezekana ni mbinu ya CCM kuwatoa watu kwenye hoja ya msingi na kuwaingiza kwenye marumbano yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Huyu Malecela anafahamika kuanzia pale alipopendekeza Kabwe asimamishwe. Infact hana jipya kwa sasa na anazeeka vibaya kama anajiweka kwenye kundi la Chitalilo-jambazi la kughushi vyeti vya elimu.
Mchango wa mbunge haupimwi kwa malumbano yasiyokuwa na msingi bali impact kwenye jamii inayotetewa.