Malecela aibuka: Asema wachafu wachache wameondoka CCM

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Hatimaye Malecela ameibuka na kumkubali Magufuli na kuwananga wachache waliohama ccm kwa kuwaita wachafu wachache.

Source:Majira
 
Mzee namheshimu sana. Ila umri umesogea. Mtu ikiwa mzee huwa anachoka na anarudi kuwa....
 
Tangia ashindwe ubunge na Lusinde (Kibajaji)katika jimbo la Mtera nilimtoa kabisa kwenye ulingo wa politics. .CCM OUT
 
Huyu sie yule aliyejiita jumanne wakati ule akitaka kwenda ikulu kupiga biashara?sie yule aliyewaambia wananchi wake kama jimboni kuna shida ya usafiri waishie kuzimu?Huyu anafaa kusema kitu kwa watanzania kweli?Nasikia alimtelekeza mke pia!Je ana usafi huyu?
 
Huyu mwl. Nyerere alimwita "MUHUNI" leo miaka dahari hajabadilika
 
Malecela: Jizi, hovyo sana, huyu alitaka kubadili dini ili aupate URAIS... hafai kibuyu haswa.. kazi u.malaya wanawake nchi nzima
 
Wa EPA, Meremeta, Escrow, mabehewa mabovu na wale alisema CAG kuwa wametafuna 600b/= wote wameshatoka?
 
Hatimaye Malecela ameibuka na kumkubali Magufuli na kuwananga wachache waliohama ccm kwa kuwaita wachafu wachache.

Source:Majira

Wameondoka wachache ina maana bado wapo wengi au ndo wamekwisha atiii.

Kazi ipo mwaka huu lazima mtu akae chini nawambieni, Bora mzee angeamua kunyamaza tuu kimya amalizie mafao yake. Zama zake zishapita.
 
Back
Top Bottom