Malaya wa Tabata wana bei kubwa

Hahaaa kumbe hii kitu ni kweli basi sawa
Tabu zote za nini unakaa mpaka mbu wanakuuma.
Siku nyingine azima mpira(gari) weka mafuta mida ya weekend utembelee mitaa ya Tabata mida ya mchana.

Wakikuona unatembea ukiwa umekaa kisha unapata mziki taratibu utawaokota nakuhakikishia wengine utawakimbia.

Jioni unavuta simu wanakuja wenyewe.

Uchawi wa mzungu mwanamke haruki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Nyeto Ilihusika Tuu Hakuna Namna

Ijumaa niliamua nikaunguze wallet maeneo ya The great pale barakuda. Bahati mbaya siku hiyo sikua na kampani hivyo nikajipanga kupata mlimbwende mmoja ambaye nitamlisha, nitamnywesha na nitaenda kumpa utamu.

Baada ya kufika sehemu tajwa hapo juu, nikakutana na jamaa mmoja ambaye tulisoma o level pamoja. Hivyo nikawa nimepata kampani ya kula gambe maana walikua wapo kama watatu hivi wote wana.

Gambe lilipokolea si ndo nikaamua kujitafutia malaya mmoja nikafanye naye mambo japo kwa usiku mmoja.

Nilipomgusa wa kwanza bei aliyonitajia, nikadhani labda sio muuzaji. Nikaamua kuachana naye maana palikua na wavaa nusu uchi wengi.

Nikamfuata wa pili, bwana wee, bei ni zile zile. Yaani kuanzia saa nane mpaka saa kumi mtu anakuambia umpe 70000. Nikaamua nimfuate wa tatu, bei ni ile ile.

Nikaona nihame bar. Nikaenda 40 40. Kugusa bado bei ni ile ile. Hapo ni saa tisa bado nahangaika na malaya.

Nilipoona bei imenishinda, nikaamua kusepa kwenda kulala na 30000 niliyokua nimepanga kumpa malaya nikaamka na supu na chenji ikabaki ya kutosha.

Hakika tabata balaaaaaa kwa bei za malaya




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ilà kuna wanaume wana mioyo migumu. Badala ya kupata ashki nimepanda.......!!
Hii comment kama haijakamilika.
Lakini pia imenisaidia kuangalia hizo picha za hao waliopata ajali kazini.
 
Hii comment kama haijakamilika.
Lakini pia imenisaidia kuangalia hizo picha za hao waliopata ajali kazini.
Kweli haijakamilika! Umewaona? Umebaini kitu gani mdogo wangu?
 
humu tunazuga tuu asilimia kubwa ya wanaume wamekula malaya walioa na hata ambao hawajaoa tusidanganyane kwa vijicoment vya hapa wanaume ambao hawajala malaya tanzania labda asilimia 5 ya wanaume wote
 
humu tunazuga tuu asilimia kubwa ya wanaume wamekula malaya walioa na hata ambao hawajaoa tusidanganyane kwa vijicoment vya hapa wanaume ambao hawajala malaya tanzania labda asilimia 5 ya wanaume wote
 
Back
Top Bottom