nusuhela,
Wee jamaa ni mgeni wa tabata!
Baada ya kufika sehemu tajwa hapo juu, nikakutana na jamaa mmoja ambaye tulisoma o level pamoja. Hivyo nikawa nimepata kampani ya kula gambe maana walikua wapo kama watatu hivi wote wana.
Gambe lilipokolea si ndo nikaamua kujitafutia malaya mmoja nikafanye naye mambo japo kwa usiku mmoja.
Nilipomgusa wa kwanza bei aliyonitajia, nikadhani labda sio muuzaji.
Nikaamua kuachana naye maana palikua na wavaa nusu uchi wengi.
Nikamfuata wa pili, bwana wee, bei ni zile zile. Yaani kuanzia saa nane mpaka saa kumi mtu anakuambia umpe 70000.
Nikaamua nimfuate wa tatu, bei ni ile ile.
Nikaona nihame bar. Nikaenda 40 40. Kugusa bado bei ni ile ile. Hapo ni saa tisa bado nahangaika na malaya.
Nilipoona bei imenishinda, nikaamua kusepa kwenda kulala na 30000 niliyokua nimepanga kumpa malaya nikaamka na supu na chenji ikabaki ya kutosha.
Hakika tabata balaaaaaa kwa bei za malaya[/QUOTE]Wee jamaa...ni mgeni wa tabata!
Siku nyingine nenda KP au KB...