Malaya wa Tabata wana bei kubwa

na usikute pia hapo sio wote wahaya wamedanganya tu wamehamisha magori.
Kwanza majina yao yanaonekana kabisa sio wahaya.

Masoua sijui bongezi sio majina ya kihaya hata kidogo.


Na kama unavyojua wahaya wengi utumia majina yao ya asili
 
Kwa nini nisiwatetee majina ya masoua sijui bongezi sijui ahmada huwezi yakuta uhayan.

Na wahaya waislamu ni wachache Sana


Ulishawahi ona muhaya anaitwa mwanaisha sijui mwantumu sijui Nadia?
Kwahiyo Unadhani nini kimefanyika hapo ?
 
Tabu zote za nini unakaa mpaka mbu wanakuuma.
Siku nyingine azima mpira(gari) weka mafuta mida ya weekend utembelee mitaa ya Tabata mida ya mchana.

Wakikuona unatembea ukiwa umekaa kisha unapata mziki taratibu utawaokota nakuhakikishia wengine utawakimbia.

Jioni unavuta simu wanakuja wenyewe.

Uchawi wa mzungu mwanamke haruki.
Haaahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ijumaa niliamua nikaunguze wallet maeneo ya The great pale barakuda. Bahati mbaya siku hiyo sikua na kampani hivyo nikajipanga kupata mlimbwende mmoja ambaye nitamlisha, nitamnywesha na nitaenda kumpa utamu.

Baada ya kufika sehemu tajwa hapo juu, nikakutana na jamaa mmoja ambaye tulisoma o level pamoja. Hivyo nikawa nimepata kampani ya kula gambe maana walikua wapo kama watatu hivi wote wana.

Gambe lilipokolea si ndo nikaamua kujitafutia malaya mmoja nikafanye naye mambo japo kwa usiku mmoja.

Nilipomgusa wa kwanza bei aliyonitajia, nikadhani labda sio muuzaji. Nikaamua kuachana naye maana palikua na wavaa nusu uchi wengi.

Nikamfuata wa pili, bwana wee, bei ni zile zile. Yaani kuanzia saa nane mpaka saa kumi mtu anakuambia umpe 70000. Nikaamua nimfuate wa tatu, bei ni ile ile.

Nikaona nihame bar. Nikaenda 40 40. Kugusa bado bei ni ile ile. Hapo ni saa tisa bado nahangaika na malaya.

Nilipoona bei imenishinda, nikaamua kusepa kwenda kulala na 30000 niliyokua nimepanga kumpa malaya nikaamka na supu na chenji ikabaki ya kutosha.

Hakika tabata balaaaaaa kwa bei za malaya
Malaika wa Bwana alikulinda dhidi ya kumkosea Mola wako kwa kigezo cha kushindwa kufika bei.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee, hizo jitihada za kkutafuta malaya zingekuwa kwenye kufanya kazi ungekuwa billionaire mkuu

Usilinganishe nyege na kazi, hashiki inaweza kusimamisha kila jambo unalolifanya na ukajikuta unakuwa kama chizi
 
Huenda walw ni more experienced na ni watalaam zaidi
 
Back
Top Bottom