Mtumpole
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,278
- 1,282
Membe, kiunzi hicho kiruke basi japo uongeze marks za kutimiza ndoto zako 2015.
Mh. Membe hapa kazi anayo!
https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/tz.html
Membe, kiunzi hicho kiruke basi japo uongeze marks za kutimiza ndoto zako 2015.
nyerere alimwambia kamuzu banda alipie kila wimbi linalopiga huku tanzania kama anataka kulazimisha mpaka uwe hapo...kamuzu hakujibu kitu badala yake akaweka meli ziwe zinalinda doria mle ziwani....nyerere alichomfanyia banda hata kisahau juu ya meli hizo..tangia hapo kukawa na ukimya na mpaka ukabaki kuwa katikati ya hilo ziwa...sasa naona chokochoko zimeanza tena...
haupiti ngo!Huu ni upepo tu, utapita.
Vigezo vya mipaka ilikuwa ni nini??tungependa kujua!!
Suala la mipaka ya majini someni [FONT=TimesNewRoman,Bold][FONT=TimesNewRoman,Bold]United Nations Convention on the Law of the Sea[/FONT][/FONT][FONT=TimesNewRoman,Bold][FONT=TimesNewRoman,Bold][/FONT][/FONT]
Kiburi cha Malawi kinatoka hapo kwenye red. Waingereza ni wahuni sana, wako upande wa Tanzania at the same time wanawapa kiburi Malawi especially kipindi hiki ambacho Malawi wana matatizo ya fedha watanfaya chochote ili mradi mdomo uelekee kinywani.
Kuna jambo moja inabidi serikali iwe makini sana, ukanda wa kusini una makampuni ya ulinzi toka nje ya nchi na wana silaha kubwa! Hichi kitu kiliongelewa bungeni lakini hakuna majibu ya maana. Uingereza wana tabia ya kutumia 'meceenaries', kwa nje inaonekana serikali haihusiki lakini ukweli hao hao mecenaries wanakuwa na link na serikali.
Mpaka ni katikati ya ziwa,
huo ni ugomvi ambao Waingereza waliacha,
Ili siku ikifika tuwaite watuamue.
kule India ni mipaka ya Kasmir,
Nayo ina ugomvi ulioachwa na Waingereza.