Malawi, Tanzania fail to agree on Lake Nyasa border dispute

kama hii ndio ramani mbona ofcn kwa Membe kuna ramani tofauti tena yenye makosa makubwa?
 
Last edited by a moderator:
ntasema kidogo juu ya hili

Katika mkutano ule tanzania ilipeleka watu 24 wasio na uwezo wowote wa kujenga hoja na pia hawakuwa wamejiandaa vya kutosha katika kukabiliana na swala hili. mkutano ulikuwa wa siku tano lakini baada ya siku tatu watanznaia walikuwa hawana hoja zaid za kuongea na kilichobaki kilikuwa ni kubisi na kusema sehemu yziwa ni mali ya tanzania.

katika kikao hicho wamalawi walihoji kwa kutumia taarifa ya membe aliyoitoa bungeni kuwa tanzania inamiliki ziwa hilo toka latitude 9 hadi 11. waliuliza hizo latitude zinaanzia wapi na kuishai wapi.katika utetezi tume ya watanznaia waliowakilisha walishindwa kuelezea jambo hilo na kulikuwa na mkanganyiko mkubwa katika majibu yao.

moja ya hoja za watanzania zilikuwa ni kwamba tanzania inamiliki ziwa hilo kwa asilimia 50 na malawi asilimia 50.. ndipo malawi wakahoji kama tunamiliki ziwa hili kwa 50/50 je msumbiji inamiliki ziwa kwa asilimia ngapi maana sehemu ya ziwa hilo iko pia msumbiji.watanzania walishindwa kujibu. na hili swali liliuzwa pia na chiume waziri wa mambo wa nje wa malawi alipokutana na membe pale serena hoteli mwezi uliopita na membe hakulijibu swali hilo.
kwa kifupi ni kwamba wawakilishi hawakuwa uwezo wa kujenga hoja , maandalizi yalikuwa duni, taarifa a membe bungeni ilileta mkanganyiko mkubwa sana..

Hapo kwenye RED, mimi ndiye niliyeleta thread ya kuhusu upotoshaji alilofanya Membe mle bungeni kwa kutaja coordinate mbovu mle bungeni. Click here.

Waliobeza thread hii haya ndiyo matokeo yake mmejifunza adabu. Binafsi nimefurahi nilichoonya kupuuzwa na kikaleta madhara.
 
Nahisi ziiwa si letu kwani tunaishi kwa mipaka ya wakoloni.! Haki yetu ipo wapi? I stand to be corrected. Napenda pia kujua mipaka ikoje pale ziwa victoria na Tanganyika usikute hatuna kitu tena
 
tunamtaka n00b aliyekuwa kwenye huo mkutano aje hapa atujibu maswali yetu sio kutupia ramani basi
 
Ni lazima kama nchi tuwe imara na wenye uwezo wa kulinda mipaka yetu...tusikubali Malawi ituchezee kwa hili!
 
Nahisi ziiwa si letu kwani tunaishi kwa mipaka ya wakoloni.! Haki yetu ipo wapi? I stand to be corrected. Napenda pia kujua mipaka ikoje pale ziwa victoria na Tanganyika usikute hatuna kitu tena

Wala usibabaike. Mipaka yote ya Tanzania iliwekwa kipindi kile na wajerumani na waingereza na asikudanganye kwamba kuna hata sentimeta moja ya mipaka hii haikuwekwa kwenye mkataba.

Zote hizi porojo za kudai eti nusu kwa nusu ni porojo ambazo ukijaribu kuzitetea lazima ujiandae kula matapshi yako na kuwafanya wamalawi waonekane wataalamu katika hili.
 
Huo mkataba wa Heligoland Zanzibar una kurasa kama 6 hivi, mpaka wa ziwa Nyasa umewekwa kwa robo ukurasa tu na uko wazi ziwa lote liko Malawi, sasa hawa AGs watakuja na lipi jipya? Ule mkataba hauhitaji hata cheti cha sheria kuuelewa.

Mimi sikuwahi kutetereka kutamka kwamba kama base ni mkataba, tusitarajie kupata hata tone moja la Ziwa Malawi.
 
Wala usibabaike. Mipaka yote ya Tanzania iliwekwa kipindi kile na wajerumani na waingereza na asikudanganye kwamba kuna hata sentimeta moja ya mipaka hii haikuwekwa kwenye mkataba.

Zote hizi porojo za kudai eti nusu kwa nusu ni porojo ambazo ukijaribu kuzitetea lazima ujiandae kula matapshi yako na kuwafanya wamalawi waonekane wataalamu katika hili.
Kaka sijakupata vizuri, do you mean hatumiliki hata centimeter moja ya ziwa ama?
 
Rashid Kawawa alilitangazia Bunge mnamo June 11, 1962 kwamba hatumiliki hata tone moja la ziwa hili. Diameter ya tone moja la maji haizidi milimita tatu!
 
Nimejaribu ku-attach ule mkataba wa Heligoland Zanzibar ili tuone kama kuna hoja ya msingi kuendelea na majadiliano hayo ya Membe na Chiume. Issue ya mgogoro huu ipo katika article I (2) inaelezea mpaka utakavyokuwa ambapo hakuna shaka sisi kama Watanzania hatuna chetu kwa mujibu wa mkataba huu. Hata hivyo zipo loopholes ambazo tunaweza kuzitumia ili kuu-defeat mkataba huu kwa mfano sehemu ya mwanzo ina maneno haya:

'This treaty temporarily settled colonial disputes between Germany and Great Britain. It recognized Tanganyika as a German colony; in return, the Germans abstained from further encroaching into British Kenya. The agreement ceded Heligoland, an island off the coast of Schleswig-Holstein in the North Sea, to Germany. Because the treaty appeared to abandon German colonial claims to much of east Africa, it unleashed a storm of nationalist protest at home.'

Hapo kwenye nyekundu inaonekana kama ifuatavyo:
(1) Mkataba huu uliondoa migogoro ya kimipaka kati ya Uingereza na Ujerumani kwa muda (temporarily),
(2) Wajerumani walikuwa wakiendelea kuchukua maeneo kutoka koloni la Uingereza liitwalo Kenya; hivyo kwa mujibu wa mkataba huu waliacha kufanya hivyo.

Ni wazi kuwa hapakuwa na mgogoro wowote katika mpaka wa ziwa Nyasa, inawezekana Wajerumani walikuwa wamechukua eneo kubwa kutoka Kenya hatimaye walikubali mpaka wa kusini yaani huko Ziwa Nyasa upite kando kando ya ziwa, hata hivyo mkataba huu ulikuwa ni wa muda tu. Kwa kuunganisha na kijiramani cha German Osta Africa kilichoambatishwa hapa pamoja na ramani za Mwingereza zinazoonesha mpaka ukiwa ndani ya ziwa tunaweza ku-raise doubts kwa mahakama za kimataifa na hatimaye kutupiliwa mbali kwa madai ya Malawi kupitia Heligoland Zanzibar Treaty.

Lengo letu kuu sasa hivi ni kuufanya mkataba wa Heligoland Zanzibar usiwe na nguvu kwa wakati uliopo (kwa sababu huu makataba ndiyo kiini cha madai ya Malawi), tusipopata hoja za kupambana na huo mkataba hilo ziwa litakuwa limeondoka rasmi katika vitabu, ramani, nyaraka zote za Tanzania endapo Malawi watakwenda katika mahakama za kimataifa.

Mimi sio mtalaam wa sheria lakini ninachofahamu mshitakiwa hahitaji kuthibitisha mahakamani kuwa hakutenda kosa bali anatakiwa kuonesha mashaka mbele ya mahakama (to raise doubts) katika ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka ili upande huo wa mashitaka ushindwe kuthibitisha bila kuacha shaka kuwa mshitakiwa alitenda kosa.

AG na timu yako pamoja na wanasheria wote wa nchi hii bila kujali itikadi za kisiasa, unganisheni nguvu tuikomboe nchi yetu pasi na kumwaga damu.
 
Waingereza wanalitaka sana hilo eneo kuchimba gas na mafuta. Nina wasiwasi na uwezo wa AG wetu katika hili. Anaonekana alivyomlaini bungeni. Sioni kama atakuwa na uwezo wa kujadili na wanasheria wa kimataifa. Atatuuza.
 
Makoye unapotosha.

Sentensi ya kwanza ya mkataba huo ni hii uliyoweka kwenye RED ikisema hivi: {This treaty temporarily settled colonial disputes between Germany and Great Britain.}.

Mnaojenga hoja kusema kwamba mkataba huu ni wa muda tu kwa kutumia kipengele hiki basi mjue kwamba mnakubaliana na yaliyomo kwamba ziwa malawi si letu hata kwa tone moja ila mnadhani ni kwa muda tu na mkadhani muda kulidai umefika.

Lakini mkumbuke kwamba ukiusoma mkataba wote utaona kwamba Article I imetaja mipaka yote ya nchi tuliyomo na wala si kipande kimoja tu kinachopita ziwa Malawi.

Ukisema kwamba mkataba huu ni wa muda tu, basi unawaruhusu Kenya nao waseme mlima Kilimanjaro kuwa kwetu ni suala la muda tu na hivyo na wao kama muda umefika kuuvuna mkataba na Tanzania kuchukua kipande cha Ziwa Malawi basi muda huohuo ndiyo utakaotumika kuvunja mkataba kwa Kenya kuudai Mlima Kilimanjaro.
 
Mimi sikuwahi kutetereka kutamka kwamba kama base ni mkataba, tusitarajie kupata hata tone moja la Ziwa Malawi.

Tatizo hapa watu wanamjadili Membe, Kikwete, Lowassa & Sitta, wakatu Wamalawi wako kitu kimoja. ukisoma utadhani humu wanaijadili ni Wamalawi. Inawezekana kuna mapungufu ktk mbinu NA uwezo wetu toka mwanzo jinsi ya kushughulikia tatizo la mpaka wa Ziwa Nyasa lakini site tunatambua lazima tuseme na kutetea Ardhi yetu na sio kujadili maoungufu yet tu.

Tunawapa faida Wamalawi ambao wao wimbo wao ni mmoja tu kwamba eneo lote la ziwa hadi pwani ya ziwa Nyasa ni Malawi NA Ndege za utafiti zilikua zinatua ktk ardhi ya Tanzania. wako wapi Watanzania Wazalendo wanaotakiwa kusema HAPANA? NA sio kushambulia tu nchi yetu? Hii tabia ya kuangali kila Jambo kisiasa NA kibinafsia tutaacha lini? Wamalawi wana tofauti kubwa za kisiasa NA rais Joice Banda sasa ananufaika NA mgogoro huu maana sasa Wamalawi ni wamoja NA utaona Waziri WA Ulinzi WA Malawi ambaye anatajwa kuwania urais 2014 na Rais Joyce Banda yuko ktk Tim ya majadiliano na anapewa nafasi kakini pi a media zao na mitandao yao kwenye hill ni wamoja na tofauti zao hawazihusishi kabisa NA mgogoro huu.

NA ndio maana nchini Malawi wanasema kwamba wanasiasa wa Malawi watataka mgogoro huu usiishe hadi baada ya uchaguzi ili ili wautumie kushinda. Tujifunze.
 
Nimejaribu ku-attach ule mkataba wa Heligoland Zanzibar ili tuone kama kuna hoja ya msingi kuendelea na majadiliano hayo ya Membe na Chiume. Issue ya mgogoro huu ipo katika article I (2) inaelezea mpaka utakavyokuwa ambapo hakuna shaka sisi kama Watanzania hatuna chetu kwa mujibu wa mkataba huu. Hata hivyo zipo loopholes ambazo tunaweza kuzitumia ili kuu-defeat mkataba huu kwa mfano sehemu ya mwanzo ina maneno haya:

'This treaty temporarily settled colonial disputes between Germany and Great Britain. It recognized Tanganyika as a German colony; in return, the Germans abstained from further encroaching into British Kenya. The agreement ceded Heligoland, an island off the coast of Schleswig-Holstein in the North Sea, to Germany. Because the treaty appeared to abandon German colonial claims to much of east Africa, it unleashed a storm of nationalist protest at home.'

Hapo kwenye nyekundu inaonekana kama ifuatavyo:
(1) Mkataba huu uliondoa migogoro ya kimipaka kati ya Uingereza na Ujerumani kwa muda (temporarily),
(2) Wajerumani walikuwa wakiendelea kuchukua maeneo kutoka koloni la Uingereza liitwalo Kenya; hivyo kwa mujibu wa mkataba huu waliacha kufanya hivyo.

Ni wazi kuwa hapakuwa na mgogoro wowote katika mpaka wa ziwa Nyasa, inawezekana Wajerumani walikuwa wamechukua eneo kubwa kutoka Kenya hatimaye walikubali mpaka wa kusini yaani huko Ziwa Nyasa upite kando kando ya ziwa, hata hivyo mkataba huu ulikuwa ni wa muda tu. Kwa kuunganisha na kijiramani cha German Osta Africa kilichoambatishwa hapa pamoja na ramani za Mwingereza zinazoonesha mpaka ukiwa ndani ya ziwa tunaweza ku-raise doubts kwa mahakama za kimataifa na hatimaye kutupiliwa mbali kwa madai ya Malawi kupitia Heligoland Zanzibar Treaty.

Lengo letu kuu sasa hivi ni kuufanya mkataba wa Heligoland Zanzibar usiwe na nguvu kwa wakati uliopo (kwa sababu huu makataba ndiyo kiini cha madai ya Malawi), tusipopata hoja za kupambana na huo mkataba hilo ziwa litakuwa limeondoka rasmi katika vitabu, ramani, nyaraka zote za Tanzania endapo Malawi watakwenda katika mahakama za kimataifa.

Mimi sio mtalaam wa sheria lakini ninachofahamu mshitakiwa hahitaji kuthibitisha mahakamani kuwa hakutenda kosa bali anatakiwa kuonesha mashaka mbele ya mahakama (to raise doubts) katika ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka ili upande huo wa mashitaka ushindwe kuthibitisha bila kuacha shaka kuwa mshitakiwa alitenda kosa.

AG na timu yako pamoja na wanasheria wote wa nchi hii bila kujali itikadi za kisiasa, unganisheni nguvu tuikomboe nchi yetu pasi na kumwaga damu.

tuwe Wazalendo, tusishabikie mapungufu yetu! tusiwape Maadui zetu faida
 
Halisi

Hatutaki ufisadi wa kuwaibia wenzetu ziwa ambalo mkataba unasema si letu.
 
Last edited by a moderator:
Mimi sikuwahi kutetereka kutamka kwamba kama base ni mkataba, tusitarajie kupata hata tone moja la Ziwa Malawi.

Malawi ndio wanataka sana kwenda mahakama ya kimataifa ya usuluhishi, Tanzania inataka kwanza mazungumzo kabla ya kwenda ICA. Ndio maana sis I timu yet ya wanasheria chini ya Chidowu imekwishafanya kazi na Malawi wameomba wapewe muda ili kuja NA tafsiri ya vifungu vyenye utata NA kutoa rejea za maeneo engine ya maziwa NA bahari yaliyomalizwa kwa kutumia tume za pamoja kama mkataba unvyoelekeza. narudia tena Watanzania waliopo JF wajue hili ni suala let tuna wajibu WA kukitetea kwa nguvu zetu zote. Watanzania waliopo eneo la Ziwa Nyasa hawatatusamehe milele
 
Malawi hawajawahi kuwa maadui zetu kwani hawajatuvunjia haki yetu yoyote inayotambuliwa na mikataba ya kimataifa.

huwezi kuwa fair kwenye hili maana umeshatamka wazi kwamba hawahatuvunjia haki NA Ndege zao kutua Mbambabay walikua NA haki na wanapaswa kwenda kutundika NA Bendera yao kule. Hongera sana Mkuu
 
Back
Top Bottom