jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,322
Umbumbumbu ni kutokujua jinsi lilivyoingia Mozambique. Umbumbumbu ni tatizo lenu na Mkapa hakuona haya kueleza uvivu wenu wa kutafiti hata kama mlimchukia kwa hilo.
Hivi wewe nikupateje, unapata wapi ujasiri wa kuwaita wenzio mambumbumbu,
naanza kushindwa kukuelewa kwa kweli.
Nakukumbusha kuwa tunajadiliana kutokuelewana kwetu na wamalawi, hili jambo ni letu, na halihitaji jamii ya kimataifa, wakishindwa kuelewa tutawaelewesha kwa hasara yao, Namaana TUTAWADUNDA hadi wajitambue umbumbumbu wao.