Malawi: Balozi Polepole akagua gwaride la kijeshi

Bikirajohola

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2022
Posts
356
Reaction score
634
Katibu mwenezi mstaafu wa CCM ambaye kwa sasa ni balozi wa Tanzania nchini Malawi, leo amekagua gwaride la heshima nchini humo kwenye mapokezi yake.

My take
Nape(Kiroboto) unajisikiaje huko ulipo maana wewe unajiona ndiyo mmiliki wa CCM kwa sasa, wakati huna undugu wowote na Nyerere wala Karume waliounganisha TANU na ASP.

 
Sasa hapa Nape ameingiaje😀😀😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Balozi wa nchi gani vile? Mbona kama kashfa hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…