Wanaume badilikeni jamani

2025DG

JF-Expert Member
Jan 30, 2023
508
1,426
Jamani.

Imekuaje tena wanaume mmeacha kupenda kama wazazi wetu wa zamani.

Upendo wa baba zetu ulikuwa wa kweli, ilikuwa ni ngumu kusikia mwanamke analia kwa habari za kupigwa, kuchitiwa, kunyanyaswa.

Ila wanaume wa sasa, hawako romantic mwanaume hawezi kubembeleza.

Mwanaume anachojua kojoa nikalale.

Mwanaume wa sasa ni wa ajabu jamani, washukuriwe babu zetu waliojua kupenda na kuyaenzi malavidavi.

Na sio migudume ya sasa inayojua kupiga mwanamke.

Yaani mwanamke haukai unaienjoi mapenzi kila kitu unaona moto.

Hello my Gentlemen tunawapenda,

Mbadilike ,

Usiku mwema.
 
Unahangaika sana jukwaa zima unakata mauno kuwasema wanaume hivi wanaume vile.

Fungua basi uzi angalao kumshukuru mama yako kwa kukuleta duniani maana hiyo nayo ni habari,mpaka inachosha kila nakopita nakutana na post zako.
 
Pole Sana... inaonekana umekutana na migumegume ya aina zote😅
 
Unahangaika sana jukwaa zima unakata mauno kuwasema wanaume hivi wanaume vile.

Fungua basi uzi angalao kumshukuru mama yako kwa kukuleta duniani maana hiyo nayo ni habari,mpaka inachosha kila nakopita nakutana na post zako.
Una nyege ,zitoe usiku mama.

Kama hauna nikutafutie
 
IMG_8772.jpg
 
Jitafutie baby boomer mmoja mmalizie maisha. Usisumbuke na Millennials.
 
Jamani.

Imekuaje tena wanaume mmeacha kupenda kama wazazi wetu wa zamani.

Upendo wa baba zetu ulikuwa wa kweli, ilikuwa ni ngumu kusikia mwanamke analia kwa habari za kupigwa, kuchitiwa, kunyanyaswa.

Ila wanaume wa sasa, hawako romantic mwanaume hawezi kubembeleza.

Mwanaume anachojua kojoa nikalale.

Mwanaume wa sasa ni wa ajabu jamani, washukuriwe babu zetu waliojua kupenda na kuyaenzi malavidavi.

Na sio migudume ya sasa inayojua kupiga mwanamke.

Yaani mwanamke haukai unaienjoi mapenzi kila kitu unaona moto.

Hello my Gentlemens tunawapenda,

Mbadilike ,

Usiku mwema.
ila mmepoa sana jamani hamna ladha kabisa dah
 
Back
Top Bottom