Kwa mara ya kwanza Kwa zaidi ya miaka 10 Leo sijapokea heri ya mwaka mpya kutoka Kwa michepuko

live on

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
792
1,266
Miaka ya nyuma siku kama ya Leo simu yangu huwa inakuwa bize sana na kupokea heri ya mwaka mpya kutoka Kwa michepuko yangu ila hi 2024 imekuwa tofauti sijapokea hata salamu moja

Kuna sms nyingine nilikuwaga nazifuta fasta Ili wife asizione maana zinakuwa zimeja maua na malavidavi ila mwaka huu kimya Sio sms za kwaida Wala Whatsapp Wala Instagram Yani kimya Sasa sijui ndio nakuwa mtu mzima au vipi Yani sijaelewa

Ila haina shida ngoja na Mimi nianze kujichenga taratibu
 
Maana yake huna mawe, wanawake wanaijuwa harufu ya pesa.
Yawezekana kweli majukumu yangu ya kifamilia yameongezeka

Ila Kuna mmoja alilia lia mwezi uliyopita kuwa anataka kuhama na hana pesa akatafuta chumba Master nikamlipia miezi 6 eti nae Leo yupo kimya
 
Yawezekana kweli majukumu yangu ya kifamilia yameongezeka

Ila Kuna mmoja alilia lia mwezi uliyopita kuwa anataka kuhama na hana pesa akatafuta chumba Master nikamlipia miezi 6 eti nae Leo yupo kimya
Maanaake haupo mwenyewe
 
Back
Top Bottom