Malaria sugu agonga mwamba kwa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malaria sugu agonga mwamba kwa CHADEMA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Msema hovyo, Jul 3, 2011.

 1. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sasa anatapatapa kuomba msaada wa vigogo wa CCM baada ya approach yake ya umakamba ya kusema hovyo kama aliyekunywa gongo kugonga mwamba. Wanachadema wamekuwa daima wakisimama imara kuzikabili hoja zake kiasi cha kuamua kuomba msaada kwa wakubwa wake.
  Kama wanachadema tunawasubiri kwa hamu hao wakubwa wako ili tuwape live uozo wao.
   
 2. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mulete mkama, nape, chiligati, msekwa na kikwete waje wajibu hoja hapa. kwanini nchi ipo hovyo hovy kama vile haina viongozi?
   
 3. M

  Michelle Hilton Senior Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mmh umejichokea kaoge
   
 4. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Akija Mizengo Pinda humu ajue kuwa mama Anne Semamba Makinda wa kumkingia kifua hayupo hapa! Anatakiwa asimame kwa miguu yake!
   
 5. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Duh, ninaamini uchafu wangu utatakata kwa maji kuliko CCM ambao hata kwa kuvua gamba bado wamebaki wachafu. Mnalo hilo!
   
 6. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #6
  Jul 3, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hapo umenena LordJustice
   
 7. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Zama hizi nani anazungumzia CCM? yahani kama radio ni zile zisizo na FM na kama tv basi ni yenye tumbo. Hata wakija wote wanamagamba hawaweziiii. Tena mtu mmoja wa JF/CDM ni sawa na watu 1,000 wanamagamba.


   
 8. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #8
  Jul 3, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hata malaria sugu mwenyewe amekiri kwamba mbunge mmoja wa CHADEMA kule bungeni ni sawa na wabunge 10 wa CCM. Kwa hapa JF takwimu ni kama hizi ulizoleta. CCM must go.
   
 9. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Watu wenyewe ni vigeugeu si mchezo! Nape alidai kwamba mafisadi walipewa 90 kujiondoa kwenye chama la sivyo wataondolewa, baada ya muda "akajivua gamba" mchana kweupeeee akakanusha! CCM is dying slowly!
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Nimeipenda tafsiri yako ya kujivua gamba
   
 11. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ninakua na wasiwasi ninaposoma thread zako na nikitizama ID yako sijui kwa nini?
   
 12. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Hivi kumbe malaria Sugu nae ni Celebrity? Hivi ameshatoka mirembe Dodoma?
   
 13. only83

  only83 JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ................Malaria sugu nadhani malaria uwa inapanda kichwani........
   
 14. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Huyo MS anawawasheni sana!
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tafadhali bw Shemegi!
   
 16. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hao vijana wako, sometime ka wanahitaji kukunwa vile...!
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  HAhahahahaah nimekusoma
   
 18. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Si unajua tena chama cha Magamba kuongea ni 100% njoo kwenye vitendo sasa, utakuta wako mbali kama sio wenyewe. Hakitadumu Chama cha Magamba, Hakitadumu.
   
 19. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #19
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,300
  Trophy Points: 280
  Siku hizi hatutumii tena hiyo Avatar yako kama hujui,
  tunatumia hii ya kwangu baada ya kubadilisha falsafa na ulelekeo wa chama
   
 20. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #20
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,053
  Trophy Points: 280
  Natamani ban yake ingekuwa ya milele
   
Loading...