mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,640
- 8,966
Wakuu habari jana nilipatwa na hali isiyo ya kawaida mwili wote ulikuwa unauma na hadi sasa unauma afu joto lilipanda mara dufu nikaenda hospital nikakutwa na malaria nimepewa dawa za mseto nilianza kunywa jana usiku nimekunywa leo tena asubuhi lakini naona hali ni ile ile nifanyaje?
Nafikiria kubadili dawa ushauri wenu tafadhali
Nafikiria kubadili dawa ushauri wenu tafadhali