Malalamiko yetu wana ndoa

Malalamiko yetu wana ndoa

Ahahahhahah daaaah mda huo mimi ndo nakimbia mashangazi wanaotaka tendo la ndoa..

Upande huu nyie mnanyimwa.
Nenda kijijini mkuu mbali na watu hukooo then tafuta vitoto vidogo oa
 
Sina msaada, maana mie si mkewe niliyemnyima 😂
Awkward Season 1 GIF by The Roku Channel.gif
 
Tumeshawachoka na nyie ndo mnafanya jf imekua sehemu ya kutatulia matatizo ya ndoa....
mbona sisi kwenye ndoa zetu zinapigwa ngumi kila siku na hatujawah leta malalamiko humu?
 
Jamani msituchoke sisi ambao tupo kwenye ndoa pale tunapokuwa tunatoa malalamiko yetu kwenye mitandao ya kijamii

Wengine ndo njia yetu ya kuondoa stress any way jana usiku nilinyimwa tendo la ndoa na mke wangu naumia sana
Ila wanaume😂😂😂
 
Tumeshawachoka na nyie ndo mnafanya jf imekua sehemu ya kutatulia matatizo ya ndoa....
mbona sisi kwenye ndoa zetu zinapigwa ngumi kila siku na hatujawah leta malalamiko humu?
Et jamani 😂 😂
 
Ni chakula iko ukinyimwa utakufa na njaa?
Wanandoa wengi ni mataahira, mpo kama mabata..!! 😏
 
Hahaha. Hongera. Sasa umejua kwamba ndoa haimaanishi kupewa tendo muda wowote unataka.
 
Back
Top Bottom