CRBD Kwa kweli imegeuka Benki ya hovyo sana siku hizi, haya matatizo ya Network ni almost kila siku.. Huduma Kwa Wateja ni ubabe ubabe tu, polite language kwao Hamna kabisa..Alafu wahudimu wa crdb wana lugha ya ajabu! Mara zote nilizohudumiwa nao lazima wanishurutishe na kuniletea nyodo as if I'm a beggar
Nina mpango wa kutafiti benki yenye unafuu katika hili eneo Kisha nihamishie vijisenti vyangu.CRBD Kwa kweli imegeuka Benki ya hovyo sana siku hizi, haya matatizo ya Network ni almost kila siku.. Huduma Kwa Wateja ni ubabe ubabe tu, polite language kwao Hamna kabisa..
Ni vyema sana kuwa na Second na hata ikiwezekana Third option.. Usiweke mayai yote kwenye kapu moja.Nina mpango wa kutafiti benki yenye unafuu katika hili eneo Kisha nihamishie vijisenti vyangu.
Maumivu yangu na hiyo bank siyasemi.. Salio nililoacha mara ya mwisho limefyekwa karibia nusu nzima
Mimi walijaribu kunifanyia hivyo na Tigo, niliwaaambia tuandikishiane mkataba kwamba hiyo pesa wakae nayo lakini kwa riba, ilikuwa ji milioni 1, nikawaambia kwakuwa mmesema mtarudisha baada ya masaa 72 basi haina shida, ila nataka 10% intrest kwa kila saa moja mtakayokaa na pesa yangu, kama mnaona hiyo riba ni kubwa basi rudisheni oesanyangu immediately, kale kadada kusikia hivyo kakapanda juu ghorofani kuongea eti na watu wa systems, kabala hajarudi chini nikapata meseji kwamba pesa yangu imerudishwa, nikicheka sana, Tigo wajinga sana, πππ, niliondoka kama mbabe flani hivi , ππππ