Malalamiko ya bar ya Bambalaga, Dodoma

Aise, huu ujinga umeanza kuingia Tanzania😳. Kenya wanao sana, kuna siku nilikuwa nimeenda Club 1824 iko Nairobi baunsa akataka kunizuia. Hiyo siku hawatokaa waisahau.
 
Hahahaaaa...
Ngoja niwasiliane na bwana mdogo FM nimfikishie malalamiko yenu.
Ila nanyi wateja muwe na uelewa,pale sio "Buza kwa Mpalange".
Nendeni kiheshima na watu wa heshima wanaostahili.
Frank Nilishamwambia Sana Hili Jambo Ila naona Kama Bado ana kibuli cha kuonekana ana Sehemu Nzuri na classic, Haya mambo ndio yalimfanya samakiΒ² Moro watu wakamkimbilia Star park Kwa huo undava wao.
 
[emoji28][emoji28][emoji28] ukienda na mwili wako mdogo unaambiwa mwanafunzi kasome[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] khiii
 
Aliruhusiwa baada ya kutoa kibunda..
 
Hahahahhahhah kuna bestie angu alirudishwa kisa mfupi wakati tunaelekea late 30's. Basi waanze kuangalia vitambulisho khaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaudhi kweli japo sijawahi zuiwa ila rafiki zangu walizuiwa wakaambiwa wanafunzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Wangeweka watu wawe wanaingia na coupon kama wanaona watu wanajazana bure.


Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanafunzi wa level gan? Au hawatoi ufafanuzi? Maana km n wa chuo si mtu mzima anaruhusiwa. Lol
 
[emoji28][emoji28][emoji28] ukienda na mwili wako mdogo unaambiwa mwanafunzi kasome[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] khiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…