Malalamiko ya bar ya Bambalaga, Dodoma

Aisee hawa jamaa ni wapuuzi, nakumbuka tulienda pale na mshikaji wangu akiwa kavaa kofia wakamzuia et ni muhuni, niliwaangalia sikuwamaliza.
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€Yaani Kofia Ndiyo Kigezo
 
Hio hipo ata pale Royal village niliwai kwenda nimevaa viatu vya wazi na suruali fupi (pensi) wakaninyima kuzama ndani inabidi nirudi chimbo langu la chakonichako na liquid
 
Sahivi hali ya biashara ikoje huko maana wadau walilalamika sana
 
Aisee hawa jamaa ni wapuuzi, nakumbuka tulienda pale na mshikaji wangu akiwa kavaa kofia wakamzuia et ni muhuni, niliwaangalia sikuwamaliza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
 
Hahaha, wonders shall never end...!
 
Kwani lazima kunywa hapo wakuu jamani ?
 
Nimetoka hapa mda si mrefu mhudumu ananiambia chukua risiti watakuuliza wakati unatoka.
Nimepita jamaa akataka kunifuata ila akasita maana aliona hii sura kauzu sana๐Ÿ˜‚
 
Ndiyo maana tuna uhaba wa mabilionea weusi maana ngozi nyeusi akipata pesa Kidogo, akili inawaza pombe, ngono na kwenda kukaa bar nakusikiliza makelele, siku ukiona muhindi au mwarabu kakaa Bar ujue huyo alishapoteza dira kitambo

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Hayo ni mambo yenu ya mikoani.

Ila mikoani kuna vituko sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ