Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 842
- 1,743
Habarini wana jamvi,
Kumekuwa na malalamiko kwa Watanzania wanaotumia huduma ya hospital ya Benjamini Mkapa hasa kwa watu ambao ndugu zao hufanyiwa upasuaji wakidai kuwa ukifanyiwa upasuaji hospitalini hapo kuna uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha
Upasuaji unaolalamikiwa kuchukua maisha ya watu kimasihara kuanzia kwenye korodani kupanda juu hadi kichwani kwa mantiki hiyo hospitali inawataalamu wa upasuaji wa miguu na mikono
Hebu tafakari hospital kubwa kama ile wa kuacha pamba kwenye tumbo la mama mjamzito ,
Wakuu naandika haya nikiwa nimeshuhudia watu nao wajua 5 wakipoteza maisha pale,au ndo wanatuthibitishia maneno ya mtaani kuwa ukienda kwa mkapa hutoki huu ni msemo maarufu dodoma
Cha ajabu mortuary hata mwili wa mtu wako ukikaa saa moja tu 60000
Najua kuna watu mmepoteza wapendwa wenu na mkahisi kuna uzembe mahali ni muda wenu wa kutoa dukuduku tuweza kuuhabarisha umma