mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 93,755
- 131,916
Route hizo lazima ubebe ugali wa kula njianiUnakaa Mpaka Unatamani Kusimama
Route Duke!!!!
Ova
Route hizo lazima ubebe ugali wa kula njianiUnakaa Mpaka Unatamani Kusimama
Route Duke!!!!
Kigoma Kuna Ugali Unawekwa Kwenye Kikapu Wanaita MsekeRoute hizo lazima ubebe ugali wa kula njiani
Ova
Hatari sanaKigoma Kuna Ugali Unawekwa Kwenye Kikapu Wanaita Mseke
Kama vipi tuwauzie Burundi hii kigoma ManaKigoma ni nchi inayopakana na Tanzania upande wa Mashariki yake, na upande wa kaskazini Magharibi yake inapakana na Burundi, Upande wa Magharibi yake unapakana na DRC kupitia Ziwa Tanganyika, ni nchi isiyokuwa na Utawala wake (non Autonomous).
Ni Tanzania Kuna Ya Kujifunza Mazurinatamani sana nifike kigoma
Mwenye Watoto Wengi Anapata Mgao Mkubwa Wa ChakulaItabidi nije uko mkuu unitembeze![]()
Saratoga wanazo na adventure...ndio zinazopiga hiyo route.Hamna tajiri atathubutu kupeleka YUTONG njia ya kigoma
Dunia inamtambua kama meme maarufu wahindi wanamtumia sana huyu mwamba 😂Umegundua kama hizi picha mbili zote zina basi kwenye background? Isipokua nyingine basi limepinduka?
Unajua kama jamaa wa kwenye picha ni ripota maarufu nchini mmiliki blog maarufu na hii picha alishea mitandaoni kuonyesha hiyo ajali?
Irrelevant evidence kuthibitisha madai yako is whack.