Malalamiko: ABIRIA kutokea KIGOMA

Malalamiko: ABIRIA kutokea KIGOMA

Kwenye BASI, mwingine uyuView attachment 1799467
Umegundua kama hizi picha mbili zote zina basi kwenye background? Isipokua nyingine basi limepinduka?

Unajua kama jamaa wa kwenye picha ni ripota maarufu nchini mmiliki blog maarufu na hii picha alishea mitandaoni kuonyesha hiyo ajali?

Irrelevant evidence kuthibitisha madai yako is whack.
 
kigoma sijui kwa nn iliachwa nyuma kipindi chote hicho.

ila Hayati Magufuli ali onyesha mapenzi ya dhati na nia ya kuifungua Kigoma na kweli sasa Lami inatandazwa kuanzia Manyovu mpaka uvimza, na kutokea Uvinza mpaka kaliua.
 
Kumbe hizi Adventure na Saratoga tunazoziona huku Dar huwa zinakula hilo vumbi la enzi za mkoloni.

Nikitaka kwenda Kigoma kumbe itabidi niishie Tabora kwa gari then niungishe kwa treni ili nikwepe hiyo adha ya vumbi
 
Adventure,Saratoga,Takbir,Majinja,Ntomola,Satco,AN,Na Nyingine Zote Zinapwia Vumbi Bhalaa
 
Ndio maana baadhi ya watu wanaoenda kigoma(kama hawana haraka) huwa wanapanda treni, nilidhani sababu ni nauli ila hata hilo vumbi laweza kuwa sababu
 
Nimeishi Kigoma Vumbi Kule Hatari Kuna Nguo Kasulu Kibondo Buhigwe Kakonko
Huwezi Kuzivaa Hata Maji Yana Udongo
 
Kumbe hizi Adventure na Saratoga tunazoziona huku Dar huwa zinakula hilo vumbi la enzi za mkoloni.

Nikitaka kwenda Kigoma kumbe itabidi niishie Tabora kwa gari then niungishe kwa treni ili nikwepe hiyo adha ya vumbi
ili viongozi wetu wanapo pata ziara ya kwenda KIGOMA huwa wana kwepa kwenda kwa barabara na badala yake wanatumia ndege. Isipokuwa Hayati JPM pekee ndiye amewahi kwenda Kigoma kwa njia ya barabara.
 
Kwa hiyo mwendazake hakuona umuhimu wa kutia mkeka? Au upande huo haukuwa kipaumbele.
 
Hilo vumbi ukifika unakoenda inabidi ufanyiwe upasuaji wa kifua ili kulitoa vumbi kifuani
 
Back
Top Bottom