Malaika waonekana kanisani

Malaika waonekana kanisani

Hao malaika wa zungu tuu, hamna weusi kama sisi?
 
hiyo siku nilikuwepo hapo church, ni kweli na mie ni mmoja wapo niliona live.
Acha uzumbukuku ndio maana Africans tulitawaliwa ..Huyo bushiri aliaibishwa aliweka projector juu na tech ilihusika mijinga kama wewe mkaanza kulia na kuanguka wkt projector

Haha asee dah[emoji23] [emoji23] wa Africa sie jau sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Eti hapa anajifanya anapaa, kumbe kivuli cha wanaombeba huko juu kimeonekana..., hahaha
 
Digital animations! Be carefully! They do it in the name of god but their are satanic agent!!!
 
Back
Top Bottom