Malaika waonekana kanisani

Malaika waonekana kanisani

Malaika ndio huo mwanga mweupe!?
Na kwanini watu hawahamaki wote vichwa mbele!

Nimeshangaa sana watu wasishtuke na huo unaodaiwa mwanga wa malaika. Mistari iko vilevile, basi tufanye waumini ni watiifu, hata kuwatazama au kuwaangalia malaika hawataki?
 
Nimeshangaa sana watu wasishtuke na huo unaodaiwa mwanga wa malaika. Mistari iko vilevile, basi tufanye waumini ni watiifu, hata kuwatazama au kuwaangalia malaika hawataki?
Ni habari ya mwaka 2015 pia hii, kuna usanii hapa
 
Ni habari ya mwaka 2015 pia hii, kuna usanii hapa

Hawa ndio watu wanafanya wokovu udharaulike. Nakiri mimi ni Mfuasi wa Kristo ila huu upumbavu na ujinga wa kuwadanganya watu kizembekizembe nauchukia sana.
 
Prophet Shepherd Bushiri told congregants at this Enlightened Christian Gathering (ECG) in South Africa to see live the Angels appearing in church during his sermon.
The vastly rich Bushiri who boasts of a private Jet and numerous mansions in Zambia, Malawi and South Africa explained that in he spiritual realms, demonstration of power is so vital especially to all the doubting Thomases and that biblical Elijah is the spectacular example among them all when he demonstrated the power of God before the prophets of Baal.
8b6e998491130aafa56a525b993bd338.jpg

Hivi ule unabii wake juu ya Mteule wa chadema umeshatimia?
 
Nimeshangaa sana watu wasishtuke na huo unaodaiwa mwanga wa malaika. Mistari iko vilevile, basi tufanye waumini ni watiifu, hata kuwatazama au kuwaangalia malaika hawataki?
Sipati picha yaani kila mtu anaendelea na mambo yake hata kushangaa hakuna. Hao malaika labda wamezoeana.
 
Teeh teeh teeh.

Misukule ya kigalatia imetulia tu inasubiri upako wa uongo toka kwa prophet Bushiri akisaidiwa na malaika wake wa kuchonga.

Yaani aliyewaita kondoo yupo sahihi 100%
 
Amini nawaambieni hawa jamaa wameshapata dhawabu yao mbinguni. Ole wake yule mtu atakaye sababisha watu waamini uongo kama huu unaondelea makanisani
 
Back
Top Bottom