Malaika waonekana kanisani

Malaika waonekana kanisani

Dini na wapiga ramli wote lao moja

Wte hawa wanatumia ngvu zilizofichika

Wanadini wapandisha mashetwain wanaita roho mtakatifu

Wapiga ramli wakipandisha Mashetwain waitwa pepo mchafu

Hawa watu ni wafanyabiashara ya kuuza Mashetwain
 
Malaika ndio huo mwanga mweupe!?
Na kwanini watu hawahamaki wote vichwa mbele!

hata video yenyewe haina uhusiano mbwembwe tu
 
Back
Top Bottom