Malaika walitoa wapi panga huko Mbinguni?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,874
Reaction score
111,017
Hivi malaika walitoa wapi panga za wanadamu huko mbinguni?

Kwa nini malaika wote wana upanga na sio bunduki ?

Malaika wote wanatumia farasi na sio magari au ndege!

Hata Muhammad alienda mbinguni na mnyama aina ya farasi au sijui punda na sio gari au ndege!

Malaika wote ni wanaume!
 
Hivi mkuu,karibia unakufa au Umeamua tu kuchimbua NENO la Mungu?Kwa sababu katika hizi siku za karibuni si haba!
 
Hizo ni picha za mawazo tu hakuna mtu amewahi kufeel texture ya iron au steel kwenye panga za malaika, ni maono tu. Japo kwa MUNGU hakuna kinachoshindikana.
 
Hizo ni picha za mawazo tu hakuna mtu amewahi kufeel texture ya iron au steel kwenye panga za malaika, ni maono tu. Japo kwa MUNGU hakuna kinachoshindikana.
Kwa nini kwenye hayo maono walikuwa hawaoni bunduki, rockets, makombora, mabomu au drones wanaona panga tu ambazo ndizo zilikuwa zinatumika na wanadamu enzi hizo?
 
Kwa nini kwenye hayo maoni walikuwa hawaoni bunduki, rockets, makombora, mabomu au drones wanaona panga tu ambazo ndizi zilikuwa zinatumika na wanadamu enzi hizo?
Wangewatajia hivyo vifaa kwa maono binadamu hawahawa walivyo wabishi?Yaani malaika wangeitwa kila majina mabaya k.m waongo,wazushi,waleta taharuki,wahuni, wahaini, magaidi n.k.
 
Mkuu huu uzi umepost au umejipost wenyewe?
 
ile ni lugha ya picha sio uhalisia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…