Malaika Beach Resort..Mwanza

Kweli mandhari ni nzuri, mwonekano wake swadaatii. Je kwa upande wa huduma( chakula,vinywaji,wahudumu viwango na mengineyo) zinaendana na huo mwonekano mzuri wa majengo na mandhari ? if so to be great, I will plan to stay in my next visit in rocky city.
 
wahudumu sifuri,hawana customer care,wapo wapo tu,sijui ni tempo?mayb wataajiri wataalam zaidi
ila wana vyumba maridadi sana sana sana

Yawezekana mwekezaji akawa na washauri wazuri kwenye hard wear, wasiwe wazuri kwenye soft wear(customer care)
 
Yawezekana mwekezaji akawa na washauri wazuri kwenye hard wear, wasiwe wazuri kwenye soft wear(customer care)

Unajua hizi bussiness zinahitaji sana...discipline katika kuzifanya..malaika ana nafasi nzuri sana kufanya vizuri kwa jiji la mwanza na kuwa outstanding
katika beach kali mwanza...first off iko mbali na mjini na imekaa ki beach kweli kweli,pili madhali ni mazuri.Ila sasa kama kwenye wahudumu itakuwa
ni balaa mean kila kitu kitakwenda vibaya..hii inatokana na kutaka kuwa na cheap lebour.Huwezi kuwa unafukuza kila siku wanyakazi kwa kujua
kuwa si wanamaliza chuo pale kila siku ntaajili kwa bei nafuu..na hii ni strategy ya wahidi.Badala ya hawa ulio nao kuwapa motisha na kukaa
nao kuwaambia maana ya kazi hiyo.Let them feel the job...that wenzetu walionde mbele kwa bussness kama ile unaweka mtu wa kufanya kazi hiyo.
 
it's a nice place kwa kweli nimewahi kuwa hapo one time, lakini barabara iendayo hapo si nzuri pia wahudumu hawako makini. otherwise hongera zake huyo mwenye hiyo hazina.
 
Mambo ya Lavena Beach Mwanza

attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php
attachment.php


Kwa hiyo hao kwenye picha ndio nyinyi?
 
wahudumu sifuri,hawana customer care,wapo wapo tu,sijui ni tempo?mayb wataajiri wataalam zaidi
ila wana vyumba maridadi sana sana sana

Jamani they are delivering for what they have been paid for:
Ukinilipa 30K/month usitegemee wageni wako niwakimbilie na kujipendekeza utafikiri nalipwa 300K/month habari hii mngempa tajiri.
Shida la matajiri wanaweka mipesa mingi kwenye majengo na facilities halafu wanajitahidi kuwanyonya na kuwaminya wafanyakazi mpaka utumbo!
 
Back
Top Bottom