Makwapa yawe safi jamani

kama hataki kunyoa azisuke..akisweat sijui inakuwaje huyo
 
Kuna kwapa la bidada niliona lilikuwa na nyewle nyekundu halafu nene kuliko za kawaida na lilikuwa linatoa gas kama mtungi wa bayogesi, nilipoendelea kuliangalia nikazima, kuja kuamka nipo external na mdada ameshashuka kwenye daladala. Tulitokea kule banana.
 
hahaaaaaa mr. watu8, wewe ni comedian? lol
 
Last edited by a moderator:
Mbona nishawahi kusikia eti wanaume wasiponyoa makwapa wanakuwa sio wanaume timilifu??Kuna ukweli wowote hapo? Himidini Mkoroshokigoli Eiyer watu8.....

Suala la kunyoa kwapa linakuja ukubwani

Jinsia inajulikana wakati unazaliwa

Kama ni suala la kuwa kamili kwenye jinsia halihusiani na kwapa na nywele zake

Ukikuta mtu anahusisha suala hilo na uanaume huyo ana matatizo kwenye kufikiri kwake!
 

Ooohhh...lile singlendi ambalo mkono wake unakaribia kugusa kiuno halina uhusiano na sisi kushuhudia hayo maumbile ya kwapa eeh...

watu8 bwana eti wadada wana kijasho fulani hivi...hao wenye singlendi wanaotunyanyulia mikono kwenye madaladala wananukia uturi eeh...
 
Washadadia wenzako wakitiwa masingi eenh...

Eeeeheee we wataka kila siku mie tu akaaa na sitoki mpaka nione mwisho wakee sijui kakusamehee maana hata hajii shauri yako utalambwa kwapa
 

Wewe utakuwa unapanda daladala na wasaka nyoka au wale Wakurya wa Kipunguni wanaowahisha mayai K'koo...

Hebu pita kwenye mablog ya wadada wenzako kina Dina uone namna wadada wenzako wanavyoweweseka kutafuta tiba ya kuzuia kiharufu beberu cha kwapa...

Kutwa mwajisugua na makoko ya ugali au kama haitoshi mkienda kwa mangi gengeni kutwa mwamaliza malimao na ndimu kwa sababu ya kwenda lipiga swaki kwapa...
 
Eeeeheee we wataka kila siku mie tu akaaa na sitoki mpaka nione mwisho wakee sijui kakusamehee maana hata hajii shauri yako utalambwa kwapa

Miye nataka uninusishe kwapalo la kiarabu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…