Bodi ya mikopo inasubiri maelekezo rasmi ya maandishi toka CC sisiemu,- Kwa mjibu wa Chiligati hii ilikuwa agenda mojawapo ya kikao kilichomalizika.Duuu, hivi hii mikopo ina shida gani siku hizi :suspicious:
Hela inaenda kulipa Dowan. Fungeni mikanda
nyie wanafunzi tulieni kwanza tunakabiliwa na deni la kimataifa, Dowans. tukimaliza tutawafikiria. hamuoni jinsi nchi yetu ilivyo masikini? nyie ni watoto wa wakulima maskini, mkifukuzwa wazazi wenu watakasirika sana.
au mmetumwa na chadema?
tafadhali rudini madarasani, msiwasikilize hao wapinzani tunashuhulikia tatizo. watawasababisha mtakosa masomo wakati wao walikwishasoma ndiyo maana wanataka madaraka ya kisiasa.
Duuu, hivi hii mikopo ina shida gani siku hizi :suspicious: