Makubwaa Ati Kasie Nyakunyaku....

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,236
36,268
Habari za mchana mabibi na mabwana



Marekebisho yamefanyika makosa yalifanyika kabla.

Ever Smiling Kasie.
 
Habari za mchana mabibi na mabwana.

Hii 2018 bado hata sijaelewa na kuisoma inaendaje.... baada ya jana kuweka uzi wa mbona sikomiii mmoja wa waliokuwa wapenzi wa Kasie akanifata mahali na kuanza kunisongesha.

Huku na kule nikamwambia bana niache mie niko likizo isiyo na muda maalum mambo ya mahaba nayapa likizo nimechoka leo nna huyu kesho nna mwingine. Mchana huu kanitumia ujumbe kuwa yuko kazini kazi haziendi hadi nimkubalie turudiane hataki niwe likizo anajua nikimaliza likizo ntadakwa na mwingine daah.....

Nikakaa kimya sijamjibu akanitumia huu wimbo kwenye whatsapp. ....

Nimeusikiliza ila sijaelewa amemaanisha nini... yaani Kasie ni nyakunyaku au..!!?? Nyakunyaku maana yake ni nini?

Sijamuuliza maana kwa jinsi alivokuwa, ataendeleza maongezi ili tuu awe na ahueni. Huwa ananiambia anasikiaga raha sana akiwa anaongea na mie. Namwambia nenda kapoteze mawazo na wanawake wako wengine mie niache nipumzike hata hanielewi.

Naombeni muusikilize hu
 
Back
Top Bottom