Bitimkongwe ukinilewesha utanipa nini? Haya nimekusikia kumbe mwalimu wangu wa lugha aliniongopea
bitimkongwe hili ni jukwaa la full shangwe japo na elimu pia ni muhimu, ni kweli wengi tunachanganya hayo manenoSamahani sitaki 'kukulewesha' kwani hilo ni baya, nilikushauri ueleweshwe maana na neno makubadhi au aina ya viatu vinavyoitwa makubadhi.
Ngoja nikutafutie picha halafu nikuwekee humu uone hivyo viatu vinavyoitwa makubadhi ni vya aina gani.