Makubaliano ya wanandoa kuchepuka

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
6,619
Reaction score
9,163
Baadhi ya wanandoa hukubaliana mmoja wao achepuke.Kwa mfano mume mwenye dosari kwamba jogoo hawiki huongea na mkewe,akachepuke na mke hufanya hivyo,huku akimuarifu mumewe kila stage.Halikadhalika mke mwenye doasari humruhusu mmewe kuchepuka,na mara nyingi mke hutafuta mwanamke kwa ajili ya mumewe.
Hii dunia ukiona mambo ni bora kunyamaza tu kama vile huyaoni
 
Kama boro halifanyi kazi kwanini uoe? Unless tatizo limekukuta ukiwa kwenye ndoa.
 
Yapo sana japo najua mmoja anaumia sana maana huzaa kabisa na yeye hulea kuficha Siri ya mapungufu yake
 
Nawaza hii sheria ikija Tanzania naona kila mwanandoa atajifanya hana nguvu...
 
stori za vijiweni zinafurahisha saana!!!👿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…