makovu mwilini

Kovu mkono wa kulia..Nilingàtwa na tumbiri nilipokuwa na miaka 6 akaondoka na mnofu...ikabidi ichukuliwe ngozi kwenye paja iwekwe hapo..Mengine yamefifia nilipata ajali ya pikipiki pia umri huohuo n.k
Pole sana ndugu yake mimi
 
Aaah mie sina kovu lenye kumbusho..Lakini nina balango kichwani nilinyewa na ndege !!
 
pole sana, mnawafuga? au wa polini?

pole aisee, mnafaidika nao vipi lakini? maana sisi tunafuga mbwa kutulinda na maadui nje ya nyumba! paka kutulinda ndani ya nyumba zetu zidi ya panya na nyoka! mbuzi, kondoo na ng'ombe kitoeo,maziwa,...............!
 
Aisee mbali sana

Goti la kulia,nilikimbizwa na mbwa mida ya jioni nikitoka kuchukua maziwa...nilianguka kwenye kokoto...iliuma sana,kukunja mguu ikawa shughuli

Pole sana. Mi nna kovu chini kidogo ya kichwa cha kikojoleo changu. Kovu lilisababishwa na kampeni ya kuondoa mkono sweta.
 
Hahahaha...polee babu

Ila si kwa faida?
 
We noma duh! sasa huo mwili si kama gwanda la jeshi? kidding
 
pole aisee, mnafaidika nao vipi lakini? maana sisi tunafuga mbwa kutulinda na maadui nje ya nyumba! paka kutulinda ndani ya nyumba zetu zidi ya panya na nyoka! mbuzi, kondoo na ng'ombe kitoeo,maziwa,...............!
Ahsante...Mi sijui kwanini tukifuga tumbili labda ilikuwa fasheni loh...kulikuwa na hao,njiwa,samaki,mbwa na paka!!!
 
pole sana
Hapana si love bite, ni
mpenzi wangu ambae tuligombana, akaamua kuchukua kisu na kutaka
kunichinja hivo nikashtuka usingizini.
Tukio hilo liliniweka kovu japo bado rohoni nina maumivu ya jambo
hilo.
 
nilitaka kukwambia uweke picha
nimeghairi
Pole sana. Mi nna kovu chini
kidogo ya kichwa cha kikojoleo changu. Kovu lilisababishwa na kampeni
ya kuondoa mkono sweta.
 
kumbe Smile ni chibonge!!!

aitheee!!
 
Last edited by a moderator:
dah! aisee mi kovu langu kila ninapoliona huwa natabasamu na hata kucheka wakati mwingine!!
 
kumbe bado kijana mdogo elfu kumi zilipokuwa zinaanza kutoka ndipo ulikuwa unatumwa na mama!! , sisi tulikuwa tunatumwa kipindi cha 100 nyekundu , nyama kilo shs 30 , soda shs 5 double cola ,sigara shs 1.5. ukitumwa unaenda unaimba kwani mama enzi hizo hata darasa halijui hawezi hata kukuandikia katika karatasi , serikali ilibidi ianzishe elimu ya watu wazima , wakifundishwa kesho wakipewa mtihani wote wanafeli ikabidi kusiwe na mitihani ni aibu . nafikiri hayo ndiyo makovu niliyonayo
 
kinachonishangaza kuwa nyie wote yani hapa mnaochangia hamna viburudisho....sikutegemea namba kubwa kiasi hichi pia kuwa kuta baadhi ya watu humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…