Makosa

As a matter of fact amesha amka.
Kacheka kweli kuona hii post yako
Na mimi nikitoswa nitakuja na thread
Usijali tutaanzisha kakikundi, sio?

Kwani kuna aliyetoswa?
 
Kutokana na makosa niliacha shilingi ya leo nikangoja laki ya kesho!

Bahati mbaya nikala za uso. Nilivyodhani ndivyo kumbe sivyo!

Nimejifunza.
Nannhii kakufanya nini?
Nilijua tu lakini.
 
Nimependa hii methari yako Nyani Ngabu

imenifanya niifikirie zaidi na zaidi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…