DIDAS TUMAINI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 232
- 653
Huwa nawazaga saaana nakosa majibu.
Hivi ni nani aliykuja na wazo la kujenga uwanja wa taifa pembezoni mwa uwanja wa karume(shamba la bibi)
Hivi ni kwanini wasingeuboresha ule uliokuwepo mwanzo afu hiyo budget ya kujenga huo uwanja wa taifa wakatafute sehemu nyingine nje ya mji kama kibaha au dodama ukajengwe uwanja wa [HASHTAG]#Taifa[/HASHTAG].
Kwa mfano huu uwanja wa Taifa ungejengwa nje ya mji maybe
• [HASHTAG]#Kibaha[/HASHTAG] kwanza ingesaidia kukuza mji maana wafanya biashara wagelazimika kuhama kuufuata uwanja hoteli/lodge zingejengwa,maduka na vibanda vidogo vidogo vya biashara maana kipindi cha mechi kubwa kama za simba na yanga huwa kuna kuwa na population kubwa na hivyo mzunguko wa fedha lazima utakuwepo.
Hii ingesaidia kukuza mji na ku create maeneo mapya ya biashara na ingeboost mapato ya manispaa ya kibaha.
•Ingesaidia kupunguza msongamano wa watu na magari kipindi cha mechi.
•Ingesaidia kuboreshwa na kujengwa kwa miundombinu kama barabara au reli.
Kwakuwa uwanja upo nje ya mji lazima barabara za kwend pale au reli zingeboreshwa ili kurahisisha usafiri na hii tayari ingekuwa n njia mojawapo ya kuongozea platform ya biashara na usafiri.
•Taifa lingekuwa na viwanja viwili vya standard ya kimaitafa
Yaani pale karume na huo ambao ungejengwa nje ya mji wa Dar.
HUENDA WALIWAZA ZAIDI KULIKO MIMI,LAKINI BINAFSI HUWA NAKEREKA KUONA VIWANJA VIWILI AT THE SAME PLACE.
Planners wa jiji kwa upande wangu naona wali feli
Yapi maoni yako??
Didas Tumaini