Makosa ya ujenzi wa uwanja wa taifa pembezoni mwa uwanja wa zamani

DIDAS TUMAINI

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
229
582
Huwa nawazaga saaana nakosa majibu.
Hivi ni nani aliykuja na wazo la kujenga uwanja wa taifa pembezoni mwa uwanja wa karume(shamba la bibi)

Hivi ni kwanini wasingeuboresha ule uliokuwepo mwanzo afu hiyo budget ya kujenga huo uwanja wa taifa wakatafute sehemu nyingine nje ya mji kama kibaha au dodama ukajengwe uwanja wa [HASHTAG]#Taifa[/HASHTAG].

Kwa mfano huu uwanja wa Taifa ungejengwa nje ya mji maybe
• [HASHTAG]#Kibaha[/HASHTAG] kwanza ingesaidia kukuza mji maana wafanya biashara wagelazimika kuhama kuufuata uwanja hoteli/lodge zingejengwa,maduka na vibanda vidogo vidogo vya biashara maana kipindi cha mechi kubwa kama za simba na yanga huwa kuna kuwa na population kubwa na hivyo mzunguko wa fedha lazima utakuwepo.
Hii ingesaidia kukuza mji na ku create maeneo mapya ya biashara na ingeboost mapato ya manispaa ya kibaha.

•Ingesaidia kupunguza msongamano wa watu na magari kipindi cha mechi.
•Ingesaidia kuboreshwa na kujengwa kwa miundombinu kama barabara au reli.
Kwakuwa uwanja upo nje ya mji lazima barabara za kwend pale au reli zingeboreshwa ili kurahisisha usafiri na hii tayari ingekuwa n njia mojawapo ya kuongozea platform ya biashara na usafiri.
•Taifa lingekuwa na viwanja viwili vya standard ya kimaitafa
Yaani pale karume na huo ambao ungejengwa nje ya mji wa Dar.

HUENDA WALIWAZA ZAIDI KULIKO MIMI,LAKINI BINAFSI HUWA NAKEREKA KUONA VIWANJA VIWILI AT THE SAME PLACE.

Planners wa jiji kwa upande wangu naona wali feli

Yapi maoni yako??

Didas Tumaini
IMG_20180308_101235.jpg
 
Uko sahihi Mkuu na nadhani kulikuwa na makosa makubwa sana kuamua Ujenzi wa Uwanja wa Taifa ujengwe pale pale karibu na uliopo Uwanja wenye Historia kubwa kwa nchi wa Uhuru. Na nisikufiche nimewahi kuwa na Marafiki zangu Wageni kutoka nchi za karibu na za Ng'ambo ambapo huwa nikipita nao hayo maeneo nasali kimoyomoyo wasiniulize swali kuhusiana na Ujenzi ule wa Uwanja wa Taifa kwani hadi leo sina majibu. Ila nina uhakika kuwa kuna ' Wageni ' wengine tena wale ambao muda mwingi wapo hapa Tanzania na huwa wanaenda hayo maeneo ' wanatudharau ' sana Mkuu na yawezekana uwepo wa Viwanja vile viwili vilivyokaribiana namna ile ndiyo ' taswira ' nzima ya uwezo wa Kufikiri mbovu na kujua Kupanga vitu ki ' hovyo hovyo ' tulionao Watanzania wengi japo siyo wote.
 
Miaka 10 na usheee unawaza leo..?? Kuna kitu wanaita upembuzi yakunifu ulifangika.. gharama za kujenga hapo zilikuwa cheap ukilinganisha na eneo jipya kabisa... pia angalia na usalama wa eneo husika... hapo kidogo pako salama zaidi maana kuna kambi za karibu hapo... hata miundombinu yake ilikuwa rahisi sana kwa wakati huo... rudi miaka hiyo utagundua kitu hapo.. tatizo umeangalia wakati huu.. maana wakati huo mwanza na dar, mwanza ilikuwa na watu wengi kuliko dar.. hivyo haikuwa shida sana na wala hapakuwa na foleni kubwa kiasi hicho... hivyo ilikuwa sawa tu.. sema waboreshe viwanja kama kile cha mwanza na hata didoma kiko poa..
 
Na mimi huwa najiuliza ni nani alishinikiza zile Hostels za wanafunzi pale UDSM zijengwe karibu na barabara ya Sam Nujoma karibu na Mlimani City wakati chuo kina eneo kubwaaa zaidi ya eka 3000? Lengo ni wanafunzi waburudishwe na makelele ya milio mbali mbali ya magari? Au ilikuwa ni lazima ziwe pale ili kila mtu aone jinsi zilivyojengwa kwa bei rahisi ya bil 10 wakati zikiwana thamani ya zaidi ya bil 54? Je lile eneo si lingefaa kibiashara zaidi ili kukiingizia chuo mapato na hivyo hostels zingejengwa nyuma ya chuo kuelekea Msewe/Changanyikeni? Je siyo kweli lile eneo lote kuanzia njia panda ya chuo hapa ubungo hadi mzunguko wa kuelekea Survey pale Mlimani City lingetumika kujenga majengo ya kibiashara kama kumbi, ofisi za kupangisha, onestop centres na Malls na hivyo chuo kuingiza mabilioni ya shilingi kila mwezi na kila mwaka? Naomba kutoa hoja!
 
Akili za viongozi wa bongo ni tatizo utashangaa hata shule inajengwa mpya ktk shule ya zamani.
Kwann isijengwe kwenye eneo ambalo hakuna shule kabisa!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom