Kamata hii hapo chini..Jengine, hili kwa wake/wapenzi wetu ni kwamba TUNAWAPENDA...hata kama ukiona mtu amefanya infidelity jua hiyo ni ya KUPITA lakini mambo yapo HOME ndo maana ukawepo in the first place, I mean hakuna mwanaume mwenye akili zake timamu anayefanya infidelity akiwa na hizia za mapenzi ya dhati ndani yake....LOVE inakuwa sehemu MOJA tu....
ni hayo tu kwa sasa!
:nono::nono::nono:Shikamooo shemeji....habari za siku nyingi......
Pole sana na Infidelity
Makubali kote ila paragraph ya mwisho...infidelity ni KUKOSA AKILI..as the Bible sayeth!!!MWISHO
Wapwa na mabinamu
hili limenijia kichwani nikaona bora tulijadili kwa pamoja hasa wale waliopo wkenye mahusiano ya kindoa/GF/BF.
Ni hivi, kwanza wengine wanakuwa na matarajio ya juu mno dhidi ya mwenzake.....kwamba kila kitu kitakuwa perfect kila saa kila siku na miaka yote...hili sio kweli......ni utopia kufikiria hivyo na ni bora kijiandaa mapema kwa 'mabadiliko' yeyote yale
la pili, niende kwenye ishu nzima ya kumegana/kula tunda la kati....kuna wengine wamekremisha kuwa unaanza hivi, unashika hapa, chomeka chomoa and the like...KWISHA...yaani ile Kiprofessional like. Kumbe mapenzi hayataki mambo ya uprofession, kufanya mapenzi ni KUUACHIA mwili na akili viende vinavyotaka...Usiutune ubongo kwamba lazima hiki kianze ndo hiki kifuatie, au style hii kisha ile...HAPANA.
Kama siku hiyo umejikuta kifo cha mende kinakubali, JIACHIE...kama umekuta paka chongo, JIACHIE, ukikuta siku hiyo mzuka upo kwenye mbuzi kagoma, jiachieni kwa raha zenu.....usitake kulazimisha kifo cha mende.....Ukikuta siku hiyo ni mambo ye TEMBELE ndo yanakubali.,,jiachieni....tuepuke kudhani kwamba kuna FORMULA katika ufanyaji wa mapenzi....RELAX and do it accordingly.
Jengine, hili kwa wake/wapenzi wetu ni kwamba TUNAWAPENDA...hata kama ukiona mtu amefanya infidelity jua hiyo ni ya KUPITA lakini mambo yapo HOME ndo maana ukawepo in the first place, I mean hakuna mwanaume mwenye akili zake timamu anayefanya infidelity akiwa na hizia za mapenzi ya dhati ndani yake....LOVE inakuwa sehemu MOJA tu....
ni hayo tu kwa sasa!
The Following 3 Users Say Thank You to Kaizer For This Useful Post:Wapwa na mabinamu
hili limenijia kichwani nikaona bora tulijadili kwa pamoja hasa wale waliopo wkenye mahusiano ya kindoa/GF/BF.
Ni hivi, kwanza wengine wanakuwa na matarajio ya juu mno dhidi ya mwenzake.....kwamba kila kitu kitakuwa perfect kila saa kila siku na miaka yote...hili sio kweli......ni utopia kufikiria hivyo na ni bora kijiandaa mapema kwa 'mabadiliko' yeyote yale
la pili, niende kwenye ishu nzima ya kumegana/kula tunda la kati....kuna wengine wamekremisha kuwa unaanza hivi, unashika hapa, chomeka chomoa and the like...KWISHA...yaani ile Kiprofessional like. Kumbe mapenzi hayataki mambo ya uprofession, kufanya mapenzi ni KUUACHIA mwili na akili viende vinavyotaka...Usiutune ubongo kwamba lazima hiki kianze ndo hiki kifuatie, au style hii kisha ile...HAPANA.
Kama siku hiyo umejikuta kifo cha mende kinakubali, JIACHIE...kama umekuta paka chongo, JIACHIE, ukikuta siku hiyo mzuka upo kwenye mbuzi kagoma, jiachieni kwa raha zenu.....usitake kulazimisha kifo cha mende.....Ukikuta siku hiyo ni mambo ye TEMBELE ndo yanakubali.,,jiachieni....tuepuke kudhani kwamba kuna FORMULA katika ufanyaji wa mapenzi....RELAX and do it accordingly.
Jengine, hili kwa wake/wapenzi wetu ni kwamba TUNAWAPENDA...hata kama ukiona mtu amefanya infidelity jua hiyo ni ya KUPITA
Asante shemeji.Ila sina uhakika na haniii wangu MSD kama nae atalipenda hili vazi la zamani.Nimekumisi lakini...hivi nimekukosea nini??????????Umependeza shemeji,,,,,asante kwa kurudisha 'vazi' lako la zamani........
Hapo ndipo unapokosea sasa.Makubali kote ila paragraph ya mwisho...infidelity ni KUKOSA AKILI..as the Bible sayeth!!!MWISHO
Ewaaa! Ni heri ukose akili kwa muda kuliko MUDA WOTE, siyo hommie?ni kweli mkulu , ukisoma between the lines ni kwamba hata KUKOSA huko kwa akili ni KWA MUDA tu sio wakati wote ndio maana mwisho wa siku unarudi HOME tartiiib,....
Hommie Kaizer, bado uko Sauzi? Hebu mpitie JZ azidi kukuongezea maujuzi. Si unaona una wanafunzi wengi hapa?Mkuu kama yaonekana ni mjuzi sana wa hizi styles.
Hebu tumit kwenye jukwaa la mambo yetu kule utudadavulie kwa kina mkuu.
:lalala::A S-heart-2::A S kiss::nono::nono:Umependeza shemeji,,,,,asante kwa kurudisha 'vazi' lako la zamani........
:confused2::confused2:Asante shemeji.Ila sina uhakika na haniii wangu MSD kama nae atalipenda hili vazi la zamani.Nimekumisi lakini...hivi nimekukosea nini??????????
Hivi bible inazungumziaje kutukana au kumwambia mwenzako kakosa akili?Makubali kote ila paragraph ya mwisho...infidelity ni KUKOSA AKILI..as the Bible sayeth!!!MWISHO
Si kila mtu anakosa akili muda fulani...?ni kweli mkulu , ukisoma between the lines ni kwamba hata KUKOSA huko kwa akili ni KWA MUDA tu sio wakati wote ndio maana mwisho wa siku unarudi HOME tartiiib,....
love is overrated, love is complicated, huwezi kusemea kila mtu.Jengine, hili kwa wake/wapenzi wetu ni kwamba TUNAWAPENDA...hata kama ukiona mtu amefanya infidelity jua hiyo ni ya KUPITA
Hapo ndipo unapokosea sasa.
Ewaaa! Ni heri ukose akili kwa muda kuliko MUDA WOTE, siyo hommie?
Hommie Kaizer, bado uko Sauzi? Hebu mpitie JZ azidi kukuongezea maujuzi. Si unaona una wanafunzi wengi hapa?
:lalala::A S-heart-2::A S kiss::nono::nono: