Makosa matatu mke akikutendea mtaliki

Makosa matatu mke akikutendea mtaliki

Joined
Sep 12, 2018
Posts
34
Reaction score
27
1. Anapokutukana : hasa hasa hadharani au chumbani
mkanye mara kadhaa kwa kumsihi ya kwamba hupendezwi na tabia yake hiyo, akiendelea zaidi ya mara tano, muache

2. Akikutukania wazee wako: fanya kama kipengele cha mwanzo.

3. Akitoka nje ya ndoa: mkanye akikataa kutokukusikiliza na kuendelea kuigongesha, mwache

Makosa yalobaki yote yaone ya kawaida sana yapotezee
 
Makosa yote kwangu yametimia na tayari nimeshamwacha. A) alinitukana chumbani akiniambia Mpumbavu b)alitoka nje ya ndoa akanijibu mbovu akiwa na jamaa c)akanitukania mama yangu kwa kusema kamtombe mama yako.

Haya yote ndani ya wiki moja ila usaliti alianza muda mrefu mwisho akaweka wazi.
 
Makosa yote kwangu yametimia na tayari nimeshamwacha. A) alinitukana chumbani akiniambia Mpumbavu b)alitoka nje ya ndoa akanijibu mbovu akiwa na jamaa c)akanitukania mama yangu kwa kusema kamtombe mama yako. Haya yote ndani ya wiki moja ila usaliti alianza muda mrefu mwisho akaweka wazi.
Hiyo ya kmtmb bi Mkubwa nadhani ingefaa na meno ya mbele angeyatema aisee
 
Haki ya msingi na lengo kuu la ndoa ni kipi?..Mimi nadhani hapo pakichezewa haina haja ya kuwa na mke the rest tunaelekezana tu mambo yanakwenda.
 
Makosa yote kwangu yametimia na tayari nimeshamwacha. A) alinitukana chumbani akiniambia Mpumbavu b)alitoka nje ya ndoa akanijibu mbovu akiwa na jamaa c)akanitukania mama yangu kwa kusema kamtombe mama yako. Haya yote ndani ya wiki moja ila usaliti alianza muda mrefu mwisho akaweka wazi.
Punguza ukali wa maneno
 
Akifaanya 1 -3 kwa wakati mmojaaa we mpe helaaa tuu na msameheee

msameheeee
 
Mtoa mada unaijua kadhia atakayopata atakayemuoa mwanamke mchawi? Matunda ya familia(watoto)sidhani kama wakuwa Salama na sahau maendeleo ukioa/kuolewa na mchawi.
 
Makosa yote kwangu yametimia na tayari nimeshamwacha. A) alinitukana chumbani akiniambia Mpumbavu b)alitoka nje ya ndoa akanijibu mbovu akiwa na jamaa c)akanitukania mama yangu kwa kusema kamtombe mama yako. Haya yote ndani ya wiki moja ila usaliti alianza muda mrefu mwisho akaweka wazi.
Duh! Ni bora hilo mpumbavu laweza vumilika, ila hapo kwa mama hajatumia busara.
 
Mkuu We naye changamoto, ukimgundua anapanga hila na njama za kukuua napo unamsamehe kwa kuwa ni kosa la kawaida? Ila kwako kutukanwa ni nongwa?
 
Makosa yote kwangu yametimia na tayari nimeshamwacha. A) alinitukana chumbani akiniambia Mpumbavu b)alitoka nje ya ndoa akanijibu mbovu akiwa na jamaa c)akanitukania mama yangu kwa kusema kamtombe mama yako. Haya yote ndani ya wiki moja ila usaliti alianza muda mrefu mwisho akaweka wazi.

Duh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom