Requal
JF-Expert Member
- Jun 5, 2020
- 1,025
- 1,923
Mkuu una hekima na uvumilivu sana, Mimi mpaka unifanyie hayo huyo mwanamke Muhimbili na hospitali za India watamkataa kwa atakavyokuwa amechakaaa.Makosa yote kwangu yametimia na tayari nimeshamwacha. A) alinitukana chumbani akiniambia Mpumbavu b)alitoka nje ya ndoa akanijibu mbovu akiwa na jamaa c)akanitukania mama yangu kwa kusema kamtombe mama yako. Haya yote ndani ya wiki moja ila usaliti alianza muda mrefu mwisho akaweka wazi.
Nadhani huwa wanaangalia na Aina ya waume, mwanamke hawezi kunitamkia maneno hayo hadharani hata Kama ananidharau namna gani hapo kumgeuza duka la nyama ni halali kabisa.
Unaanzaje kuniambia nimfuck my mummy huku nakutizama tu?