min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,044
- 126,601
Dah kamari hata mimi inaenda kuniharibu weekend nacheza kasino kama kichaaHapo ashaweka bet yake ya buku anasubiri Amle mhindi mill 20 😂😂😂
Dah kamari hata mimi inaenda kuniharibu weekend nacheza kasino kama kichaaHapo ashaweka bet yake ya buku anasubiri Amle mhindi mill 20 😂😂😂
Mhmm pombe sio chai , nasoma comment zangu za nyuma natetemeka😂😂😂😂😂 Angel Nylon Leejay49Hapo ashaweka bet yake ya buku anasubiri Amle mhindi mill 20 😂😂😂
Jitahidi kuachana na hii Mbanga bro.Dah kamari hata mimi inaenda kuniharibu weekend nacheza kasino kama kichaa
Sure bro , kuna siku nilipiga kama dollars 1600 naona sasa inaelekea kurudi yote🤣🤣🤣Jitahidi kuachana na hii Mbanga bro.
Haiwez kupa hela kirahisi rahisi.
Utaumia sana .
Ina intellegent sana , haiko fair na by the end of the day, the house always win
Majibu yako tu humu jukwaani basi yanaonesha kama huwa unapendeza 24/7Hapana nina mda sijanywa ujue😅
Sio kweli, mda mwingine unapiga tu soga maisha yaende😅Majibu yako tu humu jukwaani basi yanaonesha kama huwa unapendeza 24/7