Makosa 10 aliyotenda Mungu

unazungumzia kufikiri!!?? hivi unajua unatumia asilimia ngapi za ubongo wako kwenye kufikiri? embu nambie iyo asilimia inatosha nini wewe kufikiria vitu vya maana kama sio kufikiria ujinga tu ulouandika apo.
Ni mizani ipi uliyotumia kujua kuwa nimeandika ujinga?
 
Lots of energy and time wasted in creating and posting your reply..........work done is equivalent to nothing.
 
Nini kimekufanya uone hayo ni makosa? umejuaje kua ni makosa? wewe ndio wale watu wanaopenda kuwaambia wazazi wao kua ungechelewa kidogo ningekuzaa. Yaani akili yako haiko sawa sawa
 
Lots of energy and time wasted in creating and posting your reply..........work done is equivalent to nothing.
It wasnt for you, it was for others who didnt have any idea on what to answer. I never expected you to understand anything or to agree with anything.... People like you will never find the right path, wewe ndio yule Iblis, adhabu za Mungu anazijua ukali wake lakini ameamua kuasi... so wewe sikushangai coz huzijui wala hujazishuhudia, iblis kazishuhudia na hajatubu, so am not surprised at all 😀
 
Kama Mungu siyo dikteta na anatupa uwezo wa kuchagua, basi angetupa uhuru wa kuchagua tuzaliwe au tusizaliwe, kama tuzaliwe je na wazazi wapi? nchi ipi? na wakati gani.

Pia angetupa uhuru wa kuchagua kutembea au kupaa.
Duh wewe either una akili nyingi au unashida sana, hata hivyo nabeba la pili unashida sana , , ,
Hata kama la kwanza unalo pia.
Aturehemu. . .
 
Labda shida ni kwamba Hauamini kama kuna MUNGU.
Unaamini?
Nina shida gani mimi? shida ina maanisha jambo lingine nisilolijua?

Tatizo siyo kuamini bali kuelewa.
 
Sioni haja ya kufanya hivyo.
Wewe hata tukikutana barabarani huwezi kunijua wala mimi kukujua wewe.

Hapo ulipo huwezi kujua kama mimi ni KE au ME, mrefu au mfupi, mweusi au mweupe mzee au kijana au mtoto, kimsingi hujui chochote kuhusu mimi kwahiyo nyamaza kuigiza kana kwamba unanifahamu sana kiasi cha kujua nilikuwa mkristo[ambalo kwangu ni tusi la kukosa akili]

Watu mnabahatisha mambo msiyokuwa na uhakika nayo halafu mkiitwa matahira mnamind.
 
Namuona Gwajima anachekelea kisha anasema angependa kum-recruit CHARMILTON kuwa his messenger ambebeshe magunia ya mananihii akiwa anasafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…