Makosa 10 aliyotenda Mungu

Umetum
Kama Mungu aliumba imperfections, basi avumilie madhara ya hizo imperfections.
Kitu kingine, kungekuwepo ubaya gani kama watu wote wangekuwa 'perfect'

Je Mungu ni mkamilifu au lah!.....weka ushahidi wa jibu lako.
umetumwa nini
 
1.KUMUUMBA SHETANI: Mungu hakumuumba shetani alimuumba Malaika Lucifer ambaye kwa tamaa zake aliasi (akawa ibilisi yaani mwasi)
2.KUISHI MAFICHONI: Yehova Mungu haishi mafichoni anaishi Mbinguni wala hajifichi malaika wa Mbinguni wanamwona.
3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU: Alikuwa ana-flush takataka (wenye dhambi wakaidi) sawa na ku-flush choo.
4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI: Hata leo ukiabudu sanamu ukamwacha Yehova utavamiwa sanasana na shetani.
5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM: Ahadi imetimia walokole wote kiroho ni wana wa Ibrahimu baba wa imani.
N.k., n.k., n.k.
 
Bora ucheke uachane na mambo ya kumchallenge Mungu
Tunatakiwa kuhoji na kuuliza kila kilicho kwenye fikra zetu.
Tunatakiwa kuelewa mambo yote yanayotuhusu.
Kwa kutumia hizi hoja ni dhahiri Mungu na mambo yake yote amekosa logic, hivyo uwezekano wa concept nzima kuwa Mungu na yanayomuhusu kuwa ni uongo ni mkubwa.
 
1.Kwahiyo wakati anamuumba Lucifer hakujua kuwa atakuja kuasi na kuwa Shetani? Kama alijua, kwanini alimuumba?.....hiyo tamaa iliyomuingia Lucifer ilitoka wapi?.....Kwanini tamaa imuinge Lucifer?

2.Thibitisha uwepo wa Mbinguni, Yehova, na Malaika.

3.Nini chanzo cha dhambi baada ya mafuriko?....kwanini Mungu hakuangamiza hicho chanzo kama kweli hakutaka uovu utendeke?

4.Thibitisha uwepo wa Shetani?

5.Narudia, hata ukichanganya watu wote waliowahi kuishi hapa Duniani, hawatafikia idadi ya mchanga wa pwani.Nyie mnaojiita walokole ni wachache mno.
 
Kama Mungu aliumba imperfections, basi avumilie madhara ya hizo imperfections.
Kitu kingine, kungekuwepo ubaya gani kama watu wote wangekuwa 'perfect'

Je Mungu ni mkamilifu au lah!.....weka ushahidi wa jibu lako.
Kungekuwa na ubaya gani kama watu wore wangekuwa "perfect"?(quoted)

Watu wore kuwa perfect maana yake:-
1) wote wawe wanawake au wanaume,kutegemea jinsia IPI ingekuwa" perfect"?
Sijakuelewa pengine unifafanulie maana ya" perfect "
Mwingine angesema kuwa mwanaume sio u perfect and vice versa.
 
Labda nikurahisishie swali.

Je sayari Dunia ni perfect au siyo perfect?
 
Mungu alipo muumba mwaka adam aliweka pia instruction manual ya mwanadam huyo amabayo ni vitabu vitakatiifu. Kama ilivokuwa kwa vifaa vya kielectronic vinakuja na instruction manual. Ili uweze kukiendesha na kukitunza kifaa chako cha kielectronic yakupasa kusoma hiyo instruction manual. Sasa ndugu yangu inabidi ukasome instruction manual yako ambazo kwa sasa ni quran na biblia agano la kale. Humo utayapata majibu ya maswali yako. Quran imeeleza kila kitu tafuta quran ya kiswahili au unaweza Download kupitia Google store install kisha search unachotaka.
 
Labda nikurahisishie swali.

Je sayari Dunia ni perfect au siyo perfect?
Sayari hii haiko" perfect "kwa sababu haikutakiwa iwe na milima na mabonde iltakiwa I we level moja tu hats maji hakuna kutembea

Joto lilitakiwa 37°C tu dunia Nzima ili hata upepo usivume kabisa .
Maana yake MTU akijamba harufu ibaki pale pale.
 
Sasa kama Mungu ni mkamilifu, kwa nini aumbe imperfections?

Nini sababu na faida ya kuwepo kwa majanga asilia hapa Duniani?
 
Mungu amekusikia,atakupa unachokitaka,unamfananisha na Joseph konyi!!!!!!,namuomba Mungu akufanye chochote kutokana na dharau zako,
 
Mungu amekusikia,atakupa unachokitaka,unamfananisha na Joseph konyi!!!!!!,namuomba Mungu akufanye chochote kutokana na dharau zako,
We nawe ni kama kambulula tu.

Kama huyo Mungu angekuwa anawasikiliza na kuwajibu, kwanini msimuombe atamatishe mgogoro wa mashariki ya kati?
Kwanini msimuombe awape wasomali na wasyria amani?

Kwa nini usimuombe aondoe majanga asilia huku Duniani?
 
Muda mwingi "kwanini hivi kwanini vile?"

Yani muda wote kuna jadiliwa kama mungu angekuwepo ila sioni maswali ya kama mungu hayupo kujadiliwa,kumbuka kuna watu msimamo wao hawasemi kuwa mungu yupo au hayupo. Sasa ukisema mungu hayupo huo ni msimamo wako ambao nao unapaswa kujadiliwa ili tuone kama kweli unaendana na uhalisia,ila kibaya muda nwingi mmekuwa watu wa kuuliza maswali nyie tu Mara hivyi Mara mbona vile.

Njia hiyo hathibitishi msimamo wenu,na ndiyo maana huu hauishi.
 
Msimamo wako ni upi na ni njia ipi unayotumia kuthibitisha msimamo wako?
 
Sasa kama Mungu ni mkamilifu, kwa nini aumbe imperfections?

Nini sababu na faida ya kuwepo kwa majanga asilia hapa Duniani?
CHARMILTON Nikuulize swali kama wewe ungekuwa mungu muumba, sayari dunia ungeiwekea milima na mabonde?
Kama ndiyo. Kwa nini?
Kama siyo. Kwa nini?

Express your desire freely
 
CHARMILTON Nikuulize swali kama wewe ungekuwa mungu muumba, sayari dunia ungeiwekea milima na mabonde?
Kama ndiyo. Kwa nini?
Kama siyo. Kwa nini?

Express your desire freely
Ndio kusema umeshindwa kujibu maswali niliyokuuliza kwenye post namba 1092?

Mbona unaniuliza maswali hayo hayo ina maana hujui majibu yake siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…