mtauliwa kwa maswali yasiyo na majibuKosa la 12?
Na USIKU aliuumba WA NINI kosa la 13?
I can rule out this discussion as immaterial because our brains can't weigh it.
God is supreme we can't judge
- why he created a night
-why Bones instead of iron bars in our bodies
-why maize should mature after 6 months instead of 6 hours
-etc
-
Ndugu Wangi ni happy Kama eti wanasema mungu amekosea.mtauliwa kwa maswali yasiyo na majibu
Ndugu Wangu ni hawa jamaa eti wanasema mungu amekosea.
Tena mara 10 .
Mimi najaribu KWA mifano kuwaelimisha kufa hizo ni kazi Na mipangilio yake muumba
Mkuu usiku upo ili kuwapa viumbe muda wa kupumzika na kusave energy.Kosa la 12?
Na USIKU aliuumba WA NINI kosa la 13?
I can rule out this discussion as immaterial because our brains can't weigh it.
God is supreme we can't judge
- why he created a night
-why Bones instead of iron bars in our bodies
-why maize should mature after 6 months instead of 6 hours
-etc
-
Hp use your power to understand me,kimsingi mie nampinga alieleta mada ya makosa kumi ya mungu.Ndugu mtoa mada,hivi hayo uliyoyaorodhesha Mungu kakosea au wewe hujaelewa? Pili kama kakosea kama unavyodai,unadhani yupo/alikuwepo mwingine wa kuweka sawa?
Kwani hujui uchungu mungu aliuumba wa nini?Mkuu usiku upo ili kuwapa viumbe muda wa kupumzika na kusave energy.
Iron bar instead of bones would have been difficult in supporting locomotion as it wouldn't be flexible....Besides it, Iron could get rust so easily.....Ain't it more problematic?
Maize takes longer time than how you wish to grow so as to accumulate nutrients from the soil sufficiently.
Tuko pamoja mkuu.Hp use your power to understand me,kimsingi mie nampinga alieleta mada ya makosa kumi ya mungu.
Namtolea mifano zaidi ili aweze sema kama nayo ni makosa alifanya mungu
Tuko pamoja?
Umesahau kosa la 11 kukuumba ww na kukujaalia afya njema na kukujaalia kula yako na na kulala kwako na kuamka kwako na kukujaalia kusoma na kuandika kwako ujinga kama huuSijamdhihaki nimesema kweli. Kwani kuna uongo hapo??
Ulichoorodhesha ni makosa 10 ya mungu(kwa mtazamo wako )Unaweza kujibu hizo hoja 10?
Mungu yupo.Hivi unaamini kuwa mungu yupo?? Na mungu yupi...??
Na kujamba pia.Ukishiba sana ujue kinachofuata kuvimbiwa