Dah una akili balaa...ilikuwaje hukupewa wizara ya kuongoza??? you are too logical!!!Kuuliza si kumdhihaki mungu huyu kauliza jamani inatakiwa apewe jibu sasa km tunakuawa wakali wakati hata huyo yesu mafarisayo yalikua yanauliza. maswali kinafiki na aliyajibu.Wenye uelewa wa biblia wamjibu ili imani yake iimarike siyo kuponda tuu????
"Pengine"[emoji1] [emoji1] ...Hii ni namna ya kujitetea na kutokubali kutereza.Hapo nina maana ya kutofungamana na upande wowote....pengine R.I.P ina maana ya REMEMBERED IN PUBLIC, WHO KNOWS???
Hamna mkuu sio kila kitu unafanyia masikharaNdo upendo waliokufundisha??? mbona Yesu hakutia watesi wake gumi???
Hapo nimetania tu. Kikubwa ni kwamba hakuna Mungu na hakujawahi kuwa na Mungu na hakutakuja kuwe na Mungu.Kitu ni kilekile mkuu...udhaifu huleta makosa.
Mpe majibu please! mbona wanafunzi wa Yesu walikuwa wanamuuliza maswali na anawajibu? Aliulizwa: nifanyeje niweze kuuona ufalme wa Mungu? Akamjibu, uza vyote..............................hizi ni dalili za kudata.watu mliosoma philosophy na mkaishia njia haya ndo matatizi.hujui usemalo
Still arguing??How sure are you???
Hapo nimetania tu. Kikubwa ni kwamba hakuna Mungu na hakujawahi kuwa na Mungu na hakutakuja kuwe na Mungu.
Ishi tu vizuri na watu wenzako huku ukijua huyo anaeitwa Mungu aliumbwa na wanadamu kwenye mind zao.
HAKUWEZEKANI KUWE NA MUNGU MSHENZI NAMNA HIYO