Makosa 10 aliyotenda Mungu

Kama walivyo waamini wengi u ejaribu kumtetea lakini umeangukia pua.

Hakupaswa kumuua bali kuiondoa ila roho ya uasi na kumwacha aendelee kuishi. Kinachoonekana ni kwamba Shetani alimshinda Mungu nguvu. Ndioaana mmekalia hizo bla bla za maelezo mengi ya kujaribu kuficha aibu.

Mungu unasema hatendi uovu kwanibi alimwambia Daudi kwenda kuwaua wafilisti na wa amaleki kwa mkono wake?

Kwanini alimtuma Yuda, Simioni na Wenzake kwenda Upalestina kuwateketeza wote wazee, watoto na wanawake wasio na hatia?
Wema wake uko wapi?
 
Shetan hakuwah kuwa malaika leta andiko hapa
Acha kupenda ligi Ndugu yangu, maandiko ni mengi…

Kwa mujibu wa Biblia, Shetani (Lucifer) alikuwa malaika kabla ya kuasi Mungu. Hivyo, madai kwamba hakuwahi kuwa malaika si sahihi kibiblia.

Maandiko ya kuthibitisha:

Ezekieli 28:14-15 (SUV)
“Wewe ulikuwa kerubi mwenye kutiwa mafuta afunikaye; nami nalikuweka hivi; ulikuwa juu ya mlima mtakatifu wa Mungu; ulitembea katikati ya mawe ya moto. Ulikuwa mkamilifu katika njia zako tangu siku ulipoumbwa hata uovu ulipoonekana ndani yako.”

Hapa “kerubi” ni aina ya malaika wa hadhi ya juu, na inazungumzia kuhusu kiumbe (Lucifer) aliyekuwa mkamilifu kabla hajaanguka katika dhambi ya kiburi.

Isaya 14:12-14 (SUV): “Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ee nyota ya asubuhi, mwana wa alfajiri! … Nitajipandisha juu ya nyota za Mungu; nitaketi juu ya mlima wa mkutano… nitakuwa kama yeye Aliye juu.”

Maelezo: Haya maandiko yanaonyesha wazi kuwa Shetani alikuwa malaika (kerubi), lakini akaasi Mungu kwa kiburi na kuangushwa kutoka mbinguni.

Ufunuo 12:7-9 (SUV): “Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka; naye joka akapigana nao pamoja na malaika zake… yule joka mkubwa akatupwa chini, yule nyoka wa zamani aitwaye Ibilisi, au Shetani, adanganyaye ulimwengu wote.”

Hapa tunaona tena Shetani akiwa na malaika wake waliomuunga mkono- ikionyesha alikuwa mmoja wao kabla ya kuasi.

Biblia inafundisha wazi kuwa Shetani alikuwa malaika (kerubi) kabla hajamyasi Mungu.
Kwa hivyo kauli “Shetani hakuwahi kuwa malaika” si sahihi kulingana na maandiko.
Na wewe sasa toa maandiko yako pia kuthibitisha kauli yako

Aya muhimu ni:
  • Ezekieli 28:14–15
  • Isaya 14:12–14
  • Ufunuo 12:7–9
 
Nini kimefanya dunia nzima 98% ina wafuasi wa shetani and less than 2% ni wa Mungu? Je Shetani kashinda vita?

Hata mwaka huu oktoba 29 umeshuhudia kazi ya shetani haina mbambamba ile ya Mungu chaliii
 
Acha kupenda ligi Ndugu yangu - bibles ipo kajisomee hata online.

Hayo maswali ya Kwa nini , kamulize Siku ukikutana naye.

Ni vigumu kuyaJibu - ni Kama vile kumuuliza ccm ni Kwa ni anapenda ushindi wa kishindo Kila uchaguzi hadi wa asilimia 98, hivi unafikiri kuna mtu humu ndani atakuwa na Jibu la maana kweli ? Ni wao wenyewe wanajua…
 
Shetani alipata wapi kiburi na mawazo ya kuasi? Au aliumbwa akiwa mwenye dhambi?
Malaika wameacha kuasi au bado wapo wanaoendelea kuasi?
 
Wewe una akili chokonozi na tekenyeshi. Ni wachache wanaoyaona haya achilia mbali kusema Mungu anakosea. Ongezea. Kuumba Yesu na Mohamed wakatumika kuwaibia na kuwagombanisha wajinga wengi duniani, kutishia watu kuwachoma, kutoa ahadi za anasa na kuonyesha binadamu ni wapenda anasa, kuruhusu jamii moja iibie na kuitawala nyingine kwa jina lake, unyanyasaji wa kijinsia na mengine mengi.
 
Huna ujualo na utak kujifunza.

Hayo maandiko yote umeyatoa kwenye agano la kale, ambalo lilikuwepo kabla ya hata yesu kuwepo sasa nenda kajifunze kwa mujibu wa agano la kale au tanakh kuna malaika aloasi?

Usilete tafsiri za miaka 1500+ ya vikao vya kisiasa hapa wakat agano la kale lilikuwepo kabla ya yesu
 
Wanachofeli Gen Z.

‎1.Kupata silaha za moto hapa mtakuwa mmemaliza mzizi wa fitina na hili litakokea kama kutakuwa na mgawanyiko jeshini na WA kina tesha watokee wagawie wananchi silaha.

‎2.choma majengo yote ya wizara,hifadhi,migodi,Kambi za jeshi,CCP,bandari,Ikulu zote,vituo vikuu vya Kila mkoa.kimara pale choma mitambo yote ya Tanesco choma mawasiliano Treni ya umeme piga kiberiti ,
‎Ma generator ya bwawa la Nyerere piga kiberiti ,

‎3.mimi nikishapata AK 47,72au 102 na SMG namalisha ishu zote
 
6


?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…