Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,943
- 2,597
Hapo ndipoutakapojua Quran imeandikwa na watu tu, haina hata uMungu, tena watu walioshindwa kuandikakwa mantiki sehemu nyingi sana.
Mkuu Kiranga unaonyesha wazi aliyeendika hiyo quran alijisahau sasa mtu hushamziba asikujue una muhukumu vipi?
Kaka mkubwa naona umemnukuu Kiranga. Hapa ulitakiwa umuulize maswali yafuatayo.
1. Je baada ya kuisoma hiyo aya katika sura ya Pili iitwayo al Baqara,je alienda au alisoma maelezo ya hiyo aya katika kuielezea ?
2. Hili najua hana uwezo wa kulijibu sababu haijui Qur'an,je ipi sababu iliyofanya kuteremshwa kwa aya hiyo ?
3. Je aya kabla ya hiyo inasemaje na aya baada ya hiyo inasemaje ?
Halafu umuulize hivi yeye ana wajua hao walio zibwa masikio na moyo ?
Akikujibu haya maswali,ni tag kaka mkubwa.

Hapa naona umekiri kama hujui na kwanini uongee juu ya vitu usivyo vijua ? Huoni kama unaikosea adabu elimu na watu wake ?Unaweza kuelezea yote hayo.
Kwa nini Allah anawaziba watu masikio, macho na mioyo badala ya kuwafungua?
Kwanini ana waziba watu halafu ana wahukumu je hiyo halali?
Kwa mtazamo wako anafanya uadilifu huyo Allah?
Ungekuwa una akili salama usingeleta aya hii hapa,mpaka baada ya wewe kupata jibu la kwanini Allah anawaziba watu masikio,macho na mioyo ?Unaweza kuelezea yote hayo.
Kwa nini Allah anawaziba watu masikio, macho na mioyo badala ya kuwafungua?
Hapa naona umekiri kama hujui na kwanini uongee juu ya vitu usivyo vijua ? Huoni kama unaikosea adabu elimu na watu wake ?
Vipi utakwepa kuwa na sifa ya uongo ?
Mwanachuoni mmoja simtaji kwa lengo la kulinda heshima yake,katika kitabu chake kiitwacho " Nasaha kwa watu wa Imani katika kuwajeruhi watu Mantiki ya Kiyunani" anasema hivi " Miongoni mwa misingi ya watu wa mantiki ni kuongea kauli bila ya elimu"
Kauli yake haitoki patupu na huu ndio ukweli ambao nauona kwenu na unadhihirika mara kwa mara. Kwanini msijifunze kwanza ndio mkatenda au kuongea ?
Sasa kwa ujinga wako na ujuaji mwingi swali hili silijibu.
Mwanachuoni mwengine kadhalika simtaji kwa kulinda heshima yake,katika kitabu chake kiitwacho "Misingi mitatu" anasema "Elimu kwanza kabla ya kauli na matendo".
Someni muache kujichoresha. Kama jambo hujui ukiza kwa wanao jua,na si aibu kutokujua jambo.
Hujajibu swali.Ungekuwa una akili salama usingeleta aya hii hapa,mpaka baada ya wewe kupata jibu la kwanini Allah anawaziba watu masikio,macho na mioyo ?
Lakini sababu hamkufunzwa adabu za elimu ndio maana mnafanya kazi mara mbili ?
Na mimi ninasema hivi "IKO WAPI MBINGU NA UKO WAPI MCHANGA ?"
Huyo Allah hayupo, katungwa na watutu.
Hujajibu swali.Elezea ametungwaje mzee ? Usilete habari za kwenye vijiwe vya kahawa na kupoteza muda kucheza bao na kuwazungumzia wanawake wapitao njiani.
Hii elimu bro,sio visasili na ngano nyinginezo.
Nacheka sana bro,nimeshakujibu kwamba sijibu swali hilo.Hujajibu swali.
Kwa nini Allah anawaziba watu masikio, macho na mioyo badala ya kuwafungua?
Bro unapenda kupoteza muda kinoma. Pambana na hoja zangu mzee.Hujajibu swali.
Kwa nini Allah anawaziba watu masikio, macho na mioyo badala ya kuwafungua?
Hujajibu swali hili.Nacheka sana bro,nimeshakujibu kwamba sijibu swali hilo.
Nimefundishwa hivi katika madaraja ya watu kwa mizani ya elimu,watu wako aina nne,mojawapo ni "Kuna yule mtu anae jidai anajua wakati hajujui na hajijui kama hajui". Huyu tuna muita MPUMBAVU na mtu hafai kuelimishwa yaani wa kumuacha.
Laiti kama ungekuwa hujui na unajua kama hujui,wewe umeghafilika tu na unapaswa luelimishwa utake usitake.
Sasa baada ya hapa uje uniulize hivi au uniambie hivi "Hujajibu swali"
Hoja ukiiona hata huwezi kuijua.Bro unapenda kupoteza muda kinoma. Pambana na hoja zangu mzee.
Muulize Kiranga kwanini Mungu awafanye hivyo hao watu?Mkuu Kiranga unaonyesha wazi aliyeendika hiyo quran alijisahau sasa mtu hushamziba asikujue una muhukumu vipi?
Somamjadala, swali lishaulizwa na kujibiwa.Muulize Kiranga kwanini Mungu awafanye hivyo hao watu?
Wasikize na wanasayansi nao wanasemaje kuhusu hicho kitabu.Andiko hilo muhammad na wafuwasi wake walijisahau sana duu yaan umenifungua kitu sana kupitia andiko hilo kweli nimekubali quran haijielewi
Kaka mimi huwa sijitutumui katika jambo ambalo siliwezi hata siku moja,na nina jua kusema sijui kwa jambo nisilo lijua ni hatua bali ni nusu ya kulijua jambo hilo.Hoja ukiiona hata huwezi kuijua.
Ndiyo maana huwezi kujibu swali hili.
Kwa nini Allah anawaziba watu masikio, macho na mioyo badala ya kuwafungua?
Muulize Kiranga kwanini Mungu awafanye hivyo hao watu?