Hapana, kifo ni sehemu ndogo tu ya contradictions lukuki zinazoonesha Mungu hayupo.Kwa hiyo ili Mungu uamini kwamba yupo ni lazima watu wasife sio?
Kwa hiyo Mungu ni katili?Hapana, kifo ni sehemu ndogo tu ya contradictions lukuki zinazoonesha Mungu hayupo.
Hata kama watu wasingekufa, lakini wangekuwa wanaumwa Malaria, bado ulimwengu huo ungekuwa na contradiction ya kuwezekana kuumwa Malaria.
Point ya msingi ni kwamba, Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote hatakiwi kuumba ulimwengu ambao ubaya wowote unawezekana.
Kuwezekana kwa ubaya wowote katika ulimwengu ni ushahidi kwamba huyo Mungu hayupo.
Mbona hata wewe unakubali hakuna Mungu bila uthibitisho.Wewe nawe hujajibu swali lakuthibitisha Mungu yupo.
Unakubali Mungu yupo bila uthibitisho.
Si kwambaMungu ni katili.Kwa hiyo Mungu ni katili?
Bila uthibitisho au hujui kusoma ukiwekewa uthibitisho?Mbona hata wewe unakubali hakuna Mungu bila uthibitisho.
Ukifanya kosa ambalo likapelekea akuadhibu, je suala hilo litaondoa upendo wake kwako na kumuona hafai?Si kwambaMungu ni katili.
Mungu hayupo.
Huyo anayesemwa yupo katungwa na watu tu.
Ndiyo maana anaonekana anajichanganya.
Hapa tunaambiwa ana upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote.
Hapa tunaambiwa ni katili anaua watu dunia nzima kwa gharika, waliomkosea na wengine hata hawana akili ya kukosea.
Ukimchunguza huyu Mungu utaona ni hadithi tu za kutungwa na watu.
Mungu huyo asingeweza kuumba ulimwengu unaowezekana kufanyika kosa.Ukifanya kosa ambalo likapelekea akuadhibu, je suala hilo litaondoa upendo wake kwako na kumuona hafai?
Kwa hiyo unakosoa uumbaji wake?Mungu huyo asingeweza kuumba ulimwengu unaowezekana kufanyika kosa.
Hapo ndipo ile habari nzima ya "mabaya yanakuwepokwa sababu watu wamefanya dhambi".
Kwani Mungu hakuweza kuumba ulimwengu ambao dhambi haipo, haijulikani, na wala haiwezi kufikirika?
Sikosoi uumbaji wake, kwa sababu hayupo, na kama hayupo, hakuna "uumbaji wake".Kwa hiyo unakosoa uumbaji wake?
Unadhani maafa yanayotokea yanaletwa na nani?Sikosoi uumbaji wake, kwa sababu hayupo, na kama hayupo, hakuna "uumbaji wake".
Wewe hata kujaribu kuthibitisha hujawahi huwa unakwepa kwa kusema kisichokuwepo hakithibitishiki,kwa hiyo nayosema sio kama ni kweli bali ni kweli hujawahi kuthibitisha.Bila uthibitisho au hujui kusoma ukiwekewa uthibitisho?
Halafu unaelewa hata kama unalosema ni kweli hujathibitisha Mungu yupo bado?
Kwa nini swali liwe "nani" ?Unadhani maafa yanayotokea yanaletwa na nani?
Jibu swali kulingana na lilivyoulizwa, kama hujui sema sijui.Kwa nini swali liwe "nani" ?
Nikikuuliza "unafikiri rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?" utajibu vipi?
Nimethibitisha Mungu hayupo kwa "proof by contradiction" hapa.Wewe hata kujaribu kuthibitisha hujawahi huwa unakwepa kwa kusema kisichokuwepo hakithibitishiki,kwa hiyo nayosema sio kama ni kweli bali ni kweli hujawahi kuthibitisha.
Swali limeulizwa kwa msingi mbovu.Jibu swali kulingana na lilivyoulizwa, kama hujui sema sijui.
Ndiyo maana wasioamini dini huwa wanaungana na wewe kwenye hizo contradictions japo wanaamini Mungu,halafu bado unaniambia umethibitisha hakuna Mungu!Nimethibitisha Mungu hayupo kwa "proof by contradiction" hapa.
Wewe hata Mungu unayemzungumzia huwezi kumuelezea ana characteristics gani.
Le alone kuthibitisha yupo.
Kwa sababu hayupo.
Huwezi kuthibitisha kwamba Mungu hayupo.Ndiyo maana wasioamini dini huwa wanaungana na wewe kwenye hizo contradictions japo wanaamini Mungu,halafu bado unaniambia umethibitisha hakuna Mungu!
Ni wewe ndiyo unasema hayupo halafu ni wewe ndiye unayesema haiwezekani kuthibitisha kwa sababu hayupo.Huwezi kuthibitisha kwamba Mungu hayupo.
Kwa sababu hayupo.
Kama unabisha, thibitisha yupo.
Unadhani maafa mbalimbali mfano tetemeko la ardhi husababishwa na nini?Swali limeulizwa kwa msingi mbovu.
Lina assumption ya uongo.
Kama swali la "rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?"
Ukiuliza rangi ya wimbo wa taifa, swali halijibiki, kwa sababu limejengwa katika msingi wa imani kwamba wimbo una rangi.
Wakati wimbo hauna rangi.
Sasa nikikuuliza rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani utanijibu vipi?
Dini= Religion =دين