Makontena ya RC Paul Makonda yapigwa mnada Bandarini

Hayo makontena hayawezi kuuzika endapo Muhusika ni Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa DSM.
Madalali wapo kwenye mkoa wake, matajiri na wanunuzi wapo mkoani kwake, Bandari ipo mkoani kwake. Na pia Inasadikiwa na inaaminika kuwa ni rafiki wa karibu wa mkuu wa nchi.

Mnada huo kwa vyovyote lazima udode mana mtuhumiwa ameshika makali na alishatoa onyo kuwa atakayethubutu kuyanunua atapata laana mbaya. Laana mbaya yaweza kuwa jambo lolote baya.
Vinginevyo waje wanunuzi toka Kenya lakini sio Dar es salaam.

Akitumbuliwa makonda hayo makonteina hayakai hata dk watu wanaogopa kutumiwa watu wasiojulikana
 
Rais alitamka kwenye makontena ya makonda ya makonda kuna masofa hadi akaauliza kwa ujasiri kabisa kuwa nani alikuambia walimu wanahitaji masofa. Kauli hii iliwafanya watanzania waamini kuwa Makonda anania ya kutumia walimu kukwepa kodi.

Mwisho wa siku makontena yamefunguliwa na halijapatikana sofa hata moja mbaya zaidi makontena yenyewe hayauziki.

Ni wazi kuwa rais alidanganywa kuhusiana na kilichomo, na hii si mara ya kwanza viongozi kudanganywa na wahusika hawachukuliwi hatua. Mods naomba msiunganishe huu uzi tujadili hili tatizo maana ni kama linazidi kuota mizizi
 
Unajuaje kama Rais aliambiwa kuna sofa mule? Kama aliamua kusema "uongo" makusudi ili mwisho wa siku mwanae mpakwa mafuta aje kuwa vindicated tutajuaje? Hapana chezea bond ya Jiwe na Bashite. It looks like only death will do them apart:p
 
Wewe pambana na maisha yako, huo msala haukuhusu mwachie mwenyewe Makonda.
 
Unajuaje kama Rais aliambiwa kuna sofa mule? Kama aliamua kusema "uongo" makusudi ili mwisho wa siku mwanae mpakwa mafuta aje kuwa vindicated tutajuaje? Hapana chezea bond ya Jiwe na Bashite. It looks like only death will do them apart:p
huo mstari wa mwisho umeikamilisha weekend yangu jamaa

~future of my past~
 
makonda.jpg

Wakati Mamlaka ya Mapato (TRA) kupitia kampuni ya udalali ya Yono Auction Mark ikishindwa kuyauza makontena 20 yaliyoingizwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaan Poul Makonda kwa mara ya pili utata umegubika mnada huo baada ya makontena 10 kutofungiliwa ili wateja wajue kunanini
 
Let us wait and see.Ila sidhani kama kuna mtu atayanunua kwa sababu ya woga hawajui kama watabaki salama .Ila JP alivyoongea nilijua watu wangejitokeza kwa wingi ila ola!so inaelekea watu hawana hela au wanaogopa kufanyiwa kitu mbaya kwana imeonekana ananguvu sana kuliko mtu yoyote (kwa mazingira aliyoyajenga ya hofu) kuhusu ununuzi wa macontainer
 
Mmm nasikia makontena yamekosa mnunuzi Tena.nilisema sio rahisi watu kununua watu wanaogopa watu wanajulikana
 
Let us wait and see.Ila sidhani kama kuna mtu atayanunua kwa sababu ya woga hawajui kama watabaki salama .Ila JP alivyoongea nilijua watu wangejitokeza kwa wingi ila ola!so inaelekea watu hawana hela au wanaogopa kufanyiwa kitu mbaya kwana imeonekana ananguvu sana kuliko mtu yoyote (kwa mazingira aliyoyajenga ya hofu) kuhusu ununuzi wa macontainer
mwenye kontena alishatoa kauli zavitisho Kwa mtu yeyote atakayejitokeza kuyanunua .na pia mpk sasa muhusika bado yupo kwenye nafasi yake ya ukuu wa mkoa na bado ni Mtt pendwa Kwa Baba. unafikiri ni mfanyabiashara gani mwenye ubavu wakujaribu kunitokeza kuyanunua.
 
I am not interested.
Kitu niko interested nacho ni kima cha ushuru bandari ya Dar Es Salaam! Inakuwaje mtu alipe bilioni kwa vitu vya zamani?
Hakuna atakayenunua.
 
Back
Top Bottom