MWITONGO MAARIFA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 276
- 1,428
Ipo hoja ya Mali iliyopo kwenye makontena kukosa wateja na hivyo kuibua maswali kwamba labda vifaa hivyo ni used na havifai kuuza lakini pia ipo hoja kuwa vifaa hivyo yamkini ni so expensive na pia first class funiture kiasi kwamba ukitaka kuviingiza sokoni hapa nchini havitapata watu wenye fedha za kununua.
Lakini pia yawezekana TRA bila kujua thamani halisi ya mzigo wameweka Kodi kubwa na kuwafanya WAFANYABISHARA kurealize loss pale watakaponunua...
Ni vyema tathimini ikafanyika na ikiwezekana kushusha Bei kuwezesha kodi japo kidogo kukusanywa na kufunga mjadala huu.
Sent using Jamii Forums mobile app