1800
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 2,215
- 603
Habari ambazo zimenifikia kutoka kwa mtu wa karibu na Makongoro zinasema kuwa ameamua atagombea Arusha Mjini kama atakosa Afrika Mashariki. Ni kweli jina la baba yake ni kubwa na ndio maana 1995 alishinda kirahisi Arusha. CCM wanaweza kumwona kama mtu muafaka maana alishinda mwaka 1995. Hata hivyo chadema ni maji marefu sana Arusha hawezi kushinda kwa maoni yangu
Makongoro anaenda kujitia aibu tu Arusha mjini,kipindi kile yuko N.c.c.r na aligombea ubunge baba yake mwenyewe alimpinga na kuwasihi watu wasimchague japo alipata ubunge!Arusha hata wamsimamishe baba mwanaasha na waamishie jeshi lote kule hawawezi shinda,tena this time c.c.m ndio wanakwenda kupata aibu ya karne!hv hiki chama hakinaga washauri wazuri kweli?haki ya Mungu mwalimu alienda na chama chake!